dovillenproperty
JF-Expert Member
- Nov 24, 2014
- 3,203
- 2,227
- Thread starter
-
- #41
Kwahyo mkuu biashara inayotakiwa kutangazwa na madalali sifa zake ni zipi?Viwanja vikubwa kama hivyo ukiona vyatangazwa na madalali jua haviuziki
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli kabisa mkuu hakunashida tunazingatia ushauri wakoHalafu tunachoomba kuwekewa ni wenyewe JF wameweka masharti kuwa ni vizuri kuwekwa. Upanga kwa uelewa wangu ni ngumu sana kuwa na kiwanja ambacho kwa miaka yote hiyo hakijajengwa chochote kile. Ni lazima ilikuwepo nyumba ikavunjwa kama picha ya dalali inavoonesha. Eneo linaonekana lilikuwa linatayarishwa kwa ujenzi na ndiyo maana limechinbwa. Jee aliyetaka kujenga kilimtokea nini?
Hata kama tunaonekana siyo wateja watarajiwa (Potential buyers) lakini kwa kuwa tangazo hata sisi tumeliona basi ni haki yetu kupewa taarifa za kutosha kuhusu kinachouzwa.
Hahahaha pambana mkuuSubiri nikatafute bado naweza nikaishi upanga...mchawi pesa Mungu atubariki sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu kila eneo Lina wateja wake kwahyo nadhani wanayoyajua hayo maeneo tunaweza kuongea lugha moja mkuu.usiumize kichwa sana kujilazimisha kuelewa na wakat huwezi kuelewa
Na hao wateja wake sidhani kama hata wanatumua jamii forum
Mkazi wa ocean road tokea nazaliwa hamna best neighborhood kama kuanzia ocean road paka sea view kwa TZNdio upanunue sasa.
dodge
Mungu akipenda Mkuu, ila kwasasa hata iwanja wa 300,000/= huko simiyu ndanindani unanitoa jasho.Ndio upanunue sasa.
dodge
Pamoja sana mkuuMkazi wa ocean road tokea nazaliwa hamna best neighborhood kama kuanzia ocean road paka sea view kwa TZ
Aamen na asante sanaKwa hapo ulipopataja, ni bei nzuri na poa tu sema timing tu zimekaa vibaya.
In Shaa Allah tukumbushane baada ya mwaka wa uchaguzi kama bado tutakuwepo, sisi na kiwanja.
Njoo kwetu, Shungubweni beach ujionee, one of the best beaches, if not the best, in the world.Mkazi wa ocean road tokea nazaliwa hamna best neighborhood kama kuanzia ocean road paka sea view kwa TZ
Nani kapiga?Mshapigwa marufuku kufanya biashara kwa kuuza kwa pesa ya kigeni.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni wapi huku?Njoo kwetu, Shungubweni beach ujionee, one of the best beaches, if not the best, in the world.
Kweli kabisa mkuuDUU 1 BILLION, kwa upanga sawa maana upanga ndio makazi pekee Tz yaliyokaa City centre, along acean, katikati ya manispaa mbili..nisehemu pekee ambayo Real Estate inalipa sana.
Portfolio | 2020
Njoo kwetu, Shungubweni beach ujionee, one of the best beaches, if not the best, in the world.
Tanzania huru. Anytime unaweza kupatembelea.Wow inabidi nipatembelee bibi yangu
WHC wametangaza wanaouza maeneo hayo wanahitaji kununua. KawaonePlot inauzwa ipo Upanga
Ni ya pili kutoka beach
Size 1700 SQM
Bei 450,000/= USD
Maongezi zaidi njoo WhatsApp no +255756060183
Karibu kwenye ukulasa wetu wa Instagram kwa mahitaji ya nyumba za kuuza na Kununua, Viwanja vidogo na vikubwa, industry plot, mashamba, nk
Dovillen_property_consulting
View attachment 1341625View attachment 1341626View attachment 1341627View attachment 1341628
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuranga moja hiyoNjoo kwetu, Shungubweni beach ujionee, one of the best beaches, if not the best, in the world.
Sawa mkuu na asante sanaWHC wametangaza wanaouza maeneo hayo wanahitaji kununua. Kawaone