Plot, ekari 7, yenye hati inauzwa Kibamba CCM-Dar

Plot, ekari 7, yenye hati inauzwa Kibamba CCM-Dar

dalalitz

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2013
Posts
3,475
Reaction score
2,078
Habari wadau,

Kichwa kinajieleza,

Plot hii inaukubwa wa Ekari 7 (Saba)

Umiliki ni wa Hati Miliki.

Huduma za Maji na Umeme zipo jirani.
Barabara nzuri na eneo limejengeka.

Ipo jirani na Shule ya msingi Kibamba.

Umbali ni chini ya kilomita moja kutoka kituo cha gari Kibamba
CCM.

Bei Tshs. 450 Milioni.
(Milioni Mia Nne na Nusu)

ANGALIZO:
Malipo ya dalali ni 10%
Uonyeshwaji ni Tshs. 50,000.

Kwa hii ama shida yoyote inayohusu kuuza, kununua, kupanga nyumba, Ofisi nk.

Usisite kuwasiliana nami :
+255-714-591548
 
wakija wateja kuangalia tu 4500 hela yako nusu itakuwa imefika
 
Back
Top Bottom