Pliz pliz nisaidieni..

Ona sasa kuna wakati fulani watu walisema mke bora ni mwalimu! Kiujumla mapenzi ya mbali ni taabu sana, kuna mtu humu jamii forum majuzi amelalamika serikali kawahamisha watumishi wake kiasi cha kuwatenganisha na wenza wao, inauma.

Ushauri: Huyo bado si mke anakufanyia hivyo, achana nae.
 
Kwa lolote tutakalokushauri bado mwamuzi wa mwisho ni wewe.
Nakushauri ufate matakwa ya moyo wako. Pole.
 
Mkuu mapenzi sio ya kulazimisha hata siku moja na wewe jifanye wa bei ghari....Tafuta demu mwingine mkali kumzidi ndio dawa hiyo........alafu usishoboke nae tena.......

NB

wanawake wengi kuliko sisi wanaume nashangaa sana wanaume tunavyoangaika na wasichana wasiokuwa na mbele wala nyuma na sisi tujipe heshima zetu jamani............
 
Fimbo ya mbali haiuwi nyoka,mweke ndani afu ufanye process zakumuamisha akufate mkaishi pa1,kumuacha sio suluhisho.
 
We mbumbumbu eeh, hebu kuwa mwanaume basi acha uvulana ah. Unataka umkute kabisa anachakachua ndo utimke?
 
kweli wewe ni mbumbumbu, mambo mengine hayahitaji kuuliza maswali.
 
Kuna dada mmoja ni mwalimu, nina uhusiano nae wa kimapenzi kama miaka 3 mpaka sasa.. Kiumri kanizidi miaka 2. Alinipenda nikampenda, hakuwa na tamaa na chochote.. Na nilimpata ktk mazngra ya mimi kutokuwa na kazi hvyo sikuwa na pesa.. Nilimfatilia kma mwaka ndo akanikubali, kunipa penzi baada ya miez 6.. Tatizo limeanza nilipopata kaz mkoani.. Kila nikimpigia cm anaongea yasiyoeleweka.. Mwishowe anasema nipgie bdae kwa kutoa sababu hafifu, ukimpigia hapokei.. Bdae anasema nilikuwa kwny kelele.. Niliporud Dar nikaamua nikae kwake.. Nimekaa mwez 1 akawa hataki niguse simu yake ambayo iko bize mara mia ya mimi.. Ni zaid ya msg 20 na calls kadhaa kwa ck ktoka kwa w2 mbalimbli.. Anapokuwa hayupo nachukua simu yake na kukuta msg zinam'refer kama hny, dia, swt, wife 2 b n.k.. Kila nikimuuliza tunagombana mpaka presha inampanda na kupoteza faham.. Mbaya zaid nimegundua huwa ananidanganya kwa kuniaga anaenda sehem flani kumbe ana miadi.. Ninataka KUMUACHA naomba ushauri wako.. Na amegoma kabisa kubadilika..
mweke chini... mshukuru kwa wema wake...mwelelze ukweli ujiskiavyo kwa anayokufanzia..kisha UCHAPE LAPA!!!
 
sasa unataka ushauri gan? kama vp soma tena username yako.........................
 
khaa huyu wa wapi?karne hii bado vuvuzela?ngoja uletwe ngoma ndio umuache:whoo::whoo::bump::smash:
 
Back
Top Bottom