AKON JF-Expert Member Feb 10, 2012 213 45 Oct 18, 2012 #1 HELLOW JF MEMBERS,, MWENYE WINDOW 8 PLIIZ NATAKA NIITUPIE KWA MACHINE YANGU, NI DELL INSPIRON M5030, GB320; AMD Athlon II P360 / 2.3 GHz ( Dual-Core ), KAMA UNAYO NI INBOX NIPO DASLAM MJINI.
HELLOW JF MEMBERS,, MWENYE WINDOW 8 PLIIZ NATAKA NIITUPIE KWA MACHINE YANGU, NI DELL INSPIRON M5030, GB320; AMD Athlon II P360 / 2.3 GHz ( Dual-Core ), KAMA UNAYO NI INBOX NIPO DASLAM MJINI.
Loyal_Merchant JF-Expert Member Feb 25, 2011 623 267 Oct 18, 2012 #2 search kwenye torrent, niliiona Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site. Weka keyword "windows 8 professional" na zitakujia files nyiiingi then tafuta file lenye seeders wengi ndilo uchukue. Ila uwe na bundle ya kutosha around 3GB kama unataka 32 bit version na about 4.5GB kama unataka ya 64 bit version. Mimi nimeanza kudownload leo asubuh lakini haijakamilika yote nadhan mpaka kufikia jion itakuwa imekamilika.
search kwenye torrent, niliiona Download music, movies, games, software! The Pirate Bay - The galaxy's most resilient BitTorrent site. Weka keyword "windows 8 professional" na zitakujia files nyiiingi then tafuta file lenye seeders wengi ndilo uchukue. Ila uwe na bundle ya kutosha around 3GB kama unataka 32 bit version na about 4.5GB kama unataka ya 64 bit version. Mimi nimeanza kudownload leo asubuh lakini haijakamilika yote nadhan mpaka kufikia jion itakuwa imekamilika.