Mtuhurumawazo
Senior Member
- May 19, 2012
- 146
- 27
aisee,ngoja kwanza ifike saa mbili nikanywe chai halafu nitarudi
Ndoa ndoa ndoaaaa.... Mbona kila siku najenga hofu???
Tafuta wa kufurahia nae nje ya ndoa
nikuelewa ndugu.Unaingia tu au mnacheza cheza kwanza? Kinachompa hamu unapashika au kulamba? Ongea nae kwa kimapenzi sio hasira mkiwa kitandani mmekumbatiana mwambie umpendavyo... Then muulize ongelea hilo tatizo mtaelezana na kupanga wote kulitatua. Inawezekana pia wewe ulimuuzi na ukaua penzi lake kwako..
aisee,ngoja kwanza ifike saa mbili nikanywe chai halafu nitarudi
Ndoa ndoa ndoaaaa.... Mbona kila siku najenga hofu???
Ndoa ndoa ndoaaaa.... Mbona kila siku najenga hofu???
Tatizo hili limeanza baada ya kuupata mtoto.Mtuhurumawazo, Matatizo ya ndoa hujibiwa na wanandoa wenyewe, Kosa kubwa ni kulimbikiza matatizo mpaka ifikie hayavumiliki, Labda nikuulize mtoa mada, Je tatizo hili lipo toka mlipo anza mahusiano au limekuja baadae ?? kama limejitokeza baadae shughulikieni chanzo chake kwa upendo , litaisha