Ni tabia mbaya na wengi mnaatarisha afya zenu wakati unapotaka kuesabu pesa unalamba kidole alafu ndio unaanzakuesabu. Kuna wengine wanatemea vidole mate kabisa yaani mate mpaka unayaona alafu eti ndio anakuhesabia pesa. Ndio najua mate ni kilainishi lakini sio kwenye noti. Mate yana pahali pake bwana. Wacha hiyo tabia.
mkuu umenikata maini maana hicho kichwa cha thread kilinichanganya nikaifungua haraka kabla ya umeme
haujakatika kukuta dah nikachoka na nika log off.
mbio zote nilizokuja nazo alafu aaaargh
weka baby caretuweke nini sasa mafuta au maji?