Wana produts nyingi mkuu,sasa unaweza kuwa more specific ili usaidiwe? Unahitaji kwa Units/Box 15, Boxes/pallet 60 au inakuwaje? Na unahitaji supplier wa kudumu kibiashara au ni kwa matumizi binafsi ya nyumbani?
Funguka zaidi tufanye biashara mkuu.Asante.