Nikiwa mwana UV-CCM. Namuomba rais wangu Jakaya Mrisho Kikwete Ajiuzulu. Rais, umeshindwa kazi, kila kitu nchini kwetu kinakwenda mrama. Fanya ustaarabu kwa manufaa ya Taifa lako, na watoto wako; Tunakuomba ujiuzulu. umeshindwa kuliongoza taifa. Unatia Aibu Kwa nini unazuzura wakati taifa linaporomoka. Hivi una akili timamu kweli? Kwa nini uingie kwenye rekodi ya dunia kama Rais mzururaji kuliko wote? Tafadhali jiuzulu kabla CHADEMA hawajakuaibisha na maandamano yatakayokuondohttps://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/153682-please-kikwete-just-resign-4.html
Soma signature ya Lukolo mkuu. Kama chama cha magamba hakitaamua kutenganisha kati ya uongozi wa juu wa chama na wa serikali, basi hamtakaa mfanye la maana. Maana yeye ndiye mwenyekiti wa chama na ndiye mwenye say ya mwisho kuhusiana na maamuzi mengi ya chama. Sasa wa kumshawishi mwingine aachie madaraka ni nani? Kule kwa Mbeki waliweza kwa kuwa uongozi wa chama ulikuwa ni independent kutoka kwenye serikali. Sasa nyie hapa,huyo huyo katibu wa chama, huyohuyo waziri, mara mkuu wa
kwanza shukuru mungu umesomeshwa na nchi hii ikiongoIts painfully clear to me. We either break free from this system completely or we embrace it completely and become vampires and drink the blood of our people like Kikwete and the CCM! this sh**t is depressing. I WANT HIM OUT! we gotta SNI now PLEASE!!! We dont want you anymoreKIKWETE GO WITH PEACE AND LEAVE OUR COUNTRY ALONE
watanzania gani hao ambao hawamtaki jk? mbona wale tulio mchagua kwa kishindo 2010 na kumgalagaza slaa bado 2namhitaji labda nyie wanafiki wachache mnaojifanya tz ni yenu ndo hammtaka jk...subirini 2015 2wagalagaze tena msingizie kuchakachulia wimbo wenu wa chatema...Atoke MAGOGONI na achague kwa kwenda Nchi imemshinda, kama amekutuma mwambie watanzania hawakutaki
sasa ndio ukimbie watu wako kila leo? Unataka nini kifanyike zaidi ya jamaa kuachia?Mtoboasiri, nini maana ya uongozi?. Ni rahisi sana kuandika, kusema na kulalamika, lakini kile kiti si mchezo ndugu yangu. Kuongoza watu zaidi ya millioni 40 si kazi ndogo hata kidogo?. Tungetoa mawazo nini kifanyike pale tunapoona kumefanyika makosa ingesaidia zaidi kuliko kutoa kashfa. Tuna uhuru wa kusema ama kuandika mawazo yetu hasa katika kipindi hiki cha JK. Ni vyema kutumia nafasi hii vizuri.
Acha ujinga wewe, ina maana huu upupu wote ambao unafanywa na serikali wewe huoni mpaka useme kwamba atoe maelezo,unalala na giza na ufisadi wa mabilioni unafanyika hilo huoni???au maelezo gani unataka upewe???
nafasi ya kuongoza alipewa 2005 tu! Hii nyingine kaikwapuaKama kwa kweli aliomba nafasi ya kutuongoza tukampa hiyo nafasi lakini uongozi wenyewe ndo huu wa kutupeleka gizani na kutuweka rehani kwenye mikono ya mafisadi, basi ni afadhali aachie ngazi.
bwana ako ndo wakugusa moyo wako si kiongozi wa nchi, jiangalie ww usilete mapenzi humu jf...here we want people who thnk beyond...kama humtaki rais kivyako...yani nimejaa sumu na huyu kiongozi jaman cjui afanye zuri lipi auguse moy6 wangu.
Mtoboasiri, nini maana ya uongozi?. Ni rahisi sana kuandika, kusema na kulalamika, lakini kile kiti si mchezo ndugu yangu. Kuongoza watu zaidi ya millioni 40 si kazi ndogo hata kidogo?. Tungetoa mawazo nini kifanyike pale tunapoona kumefanyika makosa ingesaidia zaidi kuliko kutoa kashfa. Tuna uhuru wa kusema ama kuandika mawazo yetu hasa katika kipindi hiki cha JK. Ni vyema kutumia nafasi hii vizuri.