Mtoboasiri
JF-Expert Member
- Aug 6, 2009
- 5,100
- 1,955
I simply mean uongozi umemshinda. Si lazima aharibu zaidi kwa ajili tu ya kumaliza muhula wake wa piliMbona hueleweki unataka kusema nini?.
Hakuna fitina wala majungu hapa. Ukweli unaonekana kwa kila mtu anaetaka kuuona Hali inazidi kuwa mbaya kila kukicha. Kikwete nchi imemshinda, hana uwezo wa kuongoza na hii si siri hata kidogo.Sioni kama unamtendea haki Rais wetu. ni lazima utoe sababu madhubuti na ushahidi ili hoja yako isionekane kama ni fitina na majungu tu. Sioni sababu ya kujiuzulu kwake labda tujuze zaidi kwa hoja sio fitina fitina tu
Acha ujinga wewe, ina maana huu upupu wote ambao unafanywa na serikali wewe huoni mpaka useme kwamba atoe maelezo,unalala na giza na ufisadi wa mabilioni unafanyika hilo huoni???au maelezo gani unataka upewe???Sioni kama unamtendea haki Rais wetu. ni lazima utoe sababu madhubuti na ushahidi ili hoja yako isionekane kama ni fitina na majungu tu. Sioni sababu ya kujiuzulu kwake labda tujuze zaidi kwa hoja sio fitina fitina tu
Ni ushahidi gani usioujua unataka upewe kuwa rais ameshindwa kazi.Sioni kama unamtendea haki Rais wetu. ni lazima utoe sababu madhubuti na ushahidi ili hoja yako isionekane kama ni fitina na majungu tu. Sioni sababu ya kujiuzulu kwake labda tujuze zaidi kwa hoja sio fitina fitina tu
Unataka tumwambie nini kifanyike kwani wakati anakimbilia ikulu hakujua mwanzo anakwenda kufanya nini.Mtoboasiri, nini maana ya uongozi?. Ni rahisi sana kuandika, kusema na kulalamika, lakini kile kiti si mchezo ndugu yangu. Kuongoza watu zaidi ya millioni 40 si kazi ndogo hata kidogo?. Tungetoa mawazo nini kifanyike pale tunapoona kumefanyika makosa ingesaidia zaidi kuliko kutoa kashfa. Tuna uhuru wa kusema ama kuandika mawazo yetu hasa katika kipindi hiki cha JK. Ni vyema kutumia nafasi hii vizuri.
Safi sana,sema tu sivioni vile vidude vya 'thanks'Unataka tumwambie nini kifanyike kwani wakati anakimbilia ikulu hakujua mwanzo anakwenda kufanya nini.
Super.Unataka tumwambie nini kifanyike kwani wakati anakimbilia ikulu hakujua mwanzo anakwenda kufanya nini.
ajiuzuru ushike wewe nchi? acha upumbavu kijana. hii ndio faida ya kuingia JF baada ya bia za harusi.Uliutaka urais na ukaupata
Hakuna heshima nyingine tena utakayoipata zaidi ya hii uliyoipata ya kuwa rais wa taifa letu. Nakusihi kama kweli unaipenda nchi yetu achia madaraka ili mwingine nae ajaribu. Bwana mkubwa, ukiendelea kwa mtindo wako wa uongozi ulio nao hata vitukuu vyako vitaona auburn kuhusishwa na wewe. Fanya uamuzi wa kishujaa na taifa zima litakusifu. JIUZULU NA JENGA MAZINGIRA YA KUACHIA MADARAKA KWA HESHIMA
ajiuzuru ushike wewe nchi? acha upumbavu kijana. hii ndio faida ya kuingia JF baada ya bia za harusi.