Please,i'm seeking an advice

22 yrs old

22? Una base gani ya kusecure maisha ya huyo mtu? Hayo mapenzi ya chuoni huwa yanaishia njiani, piga shule dogo. Aafu mtu mwenye hujawahi kudo naye! Loh, ngoja waje wenye historia za kubebewa kitumbua mdomoni wakusimulie machungu yake!
 
Love is non existent in this world. You dont love her, you just wanna be with her for your own convenience.

Age doesnt matter, I have fcuked ladies who are much older than me..get that pussy on lockdown boy.
 
ngoja akuzekee uje ukome unafananishiwa na akina beckam w2 wenye mipesa wanatengneza mili watakavyo,halaf umri wako bdo mdogo sana taft hela kjana me naona unakribsha ........2,kama vp omba gingi upige uende zako mbele
 
You're wrong Bro, go ahead and marry that beautiful lady before it is too late.


 
Last edited by a moderator:
huyu MADESI asituzingue na mada yake! huyu tayari ana maamuzi ya kuoa ila kaleta uzi kutu-enjoy tu!
 
Dogo usilete U poppy love! Make sure unakula mzigo zaidi ya mara 20 then ndio uanze kufikiria kuoa.
 
Achana na hiyo mambo, soma kwanza umalize masomo, kisha utajuwa kama 1.5 ina matter au haina matter.
 
Love is non existent in this world. You dont love her, you just wanna be with her for your own convenience.

Age doesnt matter, I have fcuked ladies who are much older than me..get that pussy on lockdown boy.

sasa ndio umemwambia nini? Ungeishia tu kumwambia age doesnt matter.
 
Thank you so much wanajamii for your responses over the topic that I posted conserning whether age matters or not on love affairs.I got your opinion and advices and now they are in application Thanks.
 

Achana nae! kibaolojia amekuzi kwa 4yrs huyo! unless kuna kingine unatafuta
 
umeona kwanini mi nasikiaga njaa!enh!?
yani mweh!
wachaga tu niongee kiswahili ninachokipenda kwa dhati na chenyewe kinanipenda!
halafu si mwl wa kiingereza wewe?? hakiya mama mnaaibishwaje sasa wewe na Baba V??
 
Last edited by a moderator:
Age is not an issue but what matters alot is, are you ready to marry?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…