Sio zote hizo. Nenda pale Kiondoni makaburini kuna dispensary inaitwa MICO, pale kuna daktari mzuri wa meno (ni daktari mzuri wa meno sio hospitali ya meno)
Sijaelewa kaka Utafiti. Nahitaji kufanya checkup na kusafisha/kung'arisha meno
Sipafahamu ila nitaomba mtu anipeleke
Yeah I know the place......
Sio zote hizo. Nenda pale Kiondoni makaburini kuna dispensary inaitwa MICO, pale kuna daktari mzuri wa meno (ni daktari mzuri wa meno sio hospitali ya meno)
Kama unatokea mjini unakuja Msasani hiyo barabara inaitwa Ally Hassan Mwinyi road, unaifata kuvuka daraja la salender hadi utakapokuta mataa kunja kushoto, hiyo inaitwa Kinondoni road, sio mbali kutoka hapo kuna makaburi, alipozikwa kanumba, kwenye hayo makaburi opposite ipo hiyo dispensary