Please help, my PC does not get power!!

Please help, my PC does not get power!!

SONGEA

Senior Member
Joined
May 29, 2008
Posts
101
Reaction score
9
Waungwana nisaidieni.
Kompyuta yangu inapozimwa, nikija kuwasha inakuwa kama power haingii, ila baada ya kujaribu mara nyingi inawaka na shughuli zinaendelea. LAkini inapounganishwa kwenye power pamoja na kutowaka, kuna kitaa nyuma ya power supply kinakuwa kinawaka.

Inawezekana power supply ndiyo inaamatatizo au la?

Nimeambiwa tatizo lilianza baada ya PC kudondokewa maji
 
Back
Top Bottom