Masterproud
JF-Expert Member
- Sep 14, 2012
- 441
- 118
Hivi aliuliza kuhusu cover letter au latter???
Wanajamvi,
Naomba mnisaidie mwongozo wa kuandika Cover Letter.
Hivi mdau aliuliza kuhusu cover letter au latter??? samahani lakini
Kweli kaka bila Stong cover letter na Strong CV utaishia Kulalamika.Weka hapo email yako nikutumie sample za Cover letter
Inakuaje unatukana mawaziri,we mbona unaijua chini ya waziri gani kama sana hao?,sasa hapo ni juhudi za mtu binafsi bwana kujua kitu,tusipende kulaumu laumu tu!, NDIO MAANA NYERERE ALISEMA WATU WANAPENDA KULAUMU LAUMU TU!,HATA SURUALI YA MTU IKIWA NA KIRAKA HUYO MTU ATAILAUMU SERIKALI
hao wote wanakupoteza tu......hata uandike cover leta ya namna gani.......km hauna mtu wa mchongo kazi bure tu kaka