Please help if you dont mind

muggyen

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2014
Posts
347
Reaction score
254
Hello jf users
I have just downloaded photoshop cs6 and indesign cs6 both are for windows from kat.ph
Unfortunately i haven't found license keys for the softwares
I wish i could buy the original disk for adobe office but am currently broke if u dont mind please may u share with me the license keys
Am really in need
Thanks in advance
 
Nmeshindwa kujaribu jana lakini nahisi leo ntapata nafasi wakati wa mchana na nitaleta feedback how it was
Shukrani mwl rct natumaini this method will work
 
Nmejaribu leo kuna ka file ambacho kama kua craeted kanaitwa amtlib.dll.BAK kwa iyo nifanyaje nmejaeibu kukafungua ila sina program ya kufunguliq .
 
Nmejaribu leo kuna ka file ambacho kama kua craeted kanaitwa amtlib.dll.BAK kwa iyo nifanyaje nmejaeibu kukafungua ila sina program ya kufunguliq .
Ulitakiwa kufanya hivi:
  • Hiyo file uliyo download na ku_extract kwanza i_copy na Ku_paste katika installation folder ya Adode
  • Kisha uta bofya PATCH
Kinachofanyika
  1. Kwenye installation folder ya adobe kuna kijifili hiki amtlib.dll ambacho kitageuzwa na kuwa amtlib.dll.BAK
  2. Na kutakuwa na faili jipya la amtlib.dll ambalo linawekwa baada ya ku bofya PACH
​Hivyo basi hatua muhimu ya kufanya ni [kUWEKA Activator katika folder moja na amtlib.dll file] ingia local disc C >> Program files>> Adobe >> HAPO SEARCH amtlib.dll , na ukisha kaona hako kafaili kapo folder ipi ndio paste hiyo pragram uliyodownload halafu ndio ubofye PATCH.
  • Hapo utakuwa tayari umefanikiwa.
  • KARIBU
 
Naifanyia kazi mkuu ntaleta matokeo na hope itasaidia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…