Please date a woman, not a girl

Please date a woman, not a girl

Bro, yu have just nailed it in. Iko poa sana hapo. Date a woman not a girl. Girls will just spoil your date with their sitaki natakas. They really bore yu hadi watamani enda kulala. Girls wanatamani vitu expensive, places very expensive and most of the time vinakujanga na mob kubwa ati ma body guards. All to your expenses. Wai, nishawaforget.
nimeipenda hiyo. ukweli mtupu umeongeza hapa.

kwan kama ulitaka kampan si ungealika cousin zako?

kikikikikikkkkkk
 
Hii tabia ya wanawake kupenda mtu ambaye anatake care of business ni asili ya mwanamke kutaka mtu ambaye atamhakikishia future.
Enzi za caveman kuwa na mwanaume mwenye nguvu iliamaanisha uhakika wa kula na kusurvive kila linapotokea ambalo dhaifu angeshindwa.

Lakini zile enzi zimeshapita, hatuhofii tena simba au kushea makazi na nyoka badala yake sasa hivi tunahofia kila kitu ambacho kinahitaji pesa, kwangu mimi mwanamke ambaye anataka mtu awe na pesa ndiyo awe naye sioni shida naona ni old school lady ambaye anaongozwa na instincts ambazo zipo tangu enzi hizo.

Hizo instincts ndiyo zinasababisha wanawake kuchagua wanaume warefu more manly ambao wakiwa nao watajihisi safe and secured.
 
Bado nina wasiwasi na hapa maana mwandishi umeongea upande mmoja tu, which is not right
 
nimeipenda hiyo. ukweli mtupu umeongeza hapa.

kwan kama ulitaka kampan si ungealika cousin zako?

kikikikikikkkkkk

Mpenzi;
Wajua maana ya outing?? Ni kukaa mahali, mzungumze mambo yenu wawili tu. Mpate kujuana zaidi na zaidi. Hayo ma cousin na ma mingebuka ya nini?? Kama vipi walete pale kwangu tununue kichwa ya mbuzi tuchemshe ndizi tukule pamoja. Sio enda hotel ya 5 stars unaleta mi mob ya watu. Outing is for only 2 souls in love or in one unison. Wacha niwe mshamba ila nikikutoa out ukikuja na mwingine nakuacha hapo hapo mukae nyie na mambo zenu.
 
tatizo hujanielewa, nko pamoja na wewe. nilikuwa namwambia kama alikuja na kampan wewe ungehitaji hizo kampani si ungealika binamu zako? acha mzuka na wewe??? soma taratibu uelewe
 
tatizo hujanielewa, nko pamoja na wewe. nilikuwa namwambia kama alikuja na kampan wewe ungehitaji hizo kampani si ungealika binamu zako? acha mzuka na wewe??? soma taratibu uelewe

Mamaa,
Signature yako tu ndo imenmaliza. Yu said, Yu Love Jesus and yu are not ashamed to tell it all. Wow! That is so good. Nimekubali yaishe
 
Mamaa,
Signature yako tu ndo imenmaliza. Yu said, Yu Love Jesus and yu are not ashamed to tell it all. Wow! That is so good. Nimekubali yaishe
lovely, and guess what?? He has promised me more years for me to say of His goodness.
 
Before ya kuwa woman kumbuka alikuwa girl kwanza, so when you date a woman know that there is presence of girl inside her,
 
lovely, and guess what?? He has promised me more years for me to say of His goodness.

Wow! Mamaa, How much I envy yu. How can I tell him of ma need to love him?? Am so hungry and thirsty
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom