Please date a woman, not a girl

Please date a woman, not a girl

Nice post... but you do realize there are women who act like girls and girls who act like grown up women?

How can u tell a difference before going on a date with a woman/girl?
Utajua yupo upande gani during au after the date, maamuzi ya kuendelea nae yapo kichwani mwako.

What determines her maturity is not about her age but it is all about how she behaves.
 
Bro, yu have just nailed it in. Iko poa sana hapo. Date a woman not a girl. Girls will just spoil your date with their sitaki natakas. They really bore yu hadi watamani enda kulala. Girls wanatamani vitu expensive, places very expensive and most of the time vinakujanga na mob kubwa ati ma body guards. All to your expenses. Wai, nishawaforget.
 
Ni rahisi zaidi kumpata bikra kwenye wodi ya wazazi kuliko kumpata mwanamke anayelipia bill
 
-financially independent.
-posses enough self-respect.
-share the bill.
.....nimeona hayo tu, katika mia utapata mmoja. Hapa town bahati mbaya magu akizidi kukaza wengi watarudi shamba.
 
Hapo kwenye kiingilishi tu ndo tatidho!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom