MsemajiUkweli
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 13,185
- 24,054
Mimi ninawaomba wayaishi maneno yao.Hao tena kwisha habari yao chini ya mbowe na El
Mlipiga kelele sana na tukawasikia na kukubali hoja zenu kuhusu vikao kuwa live.
Mlijenga hoja mkisema wananchi wanatakiwa kuona na kusikia kinachoendelea kwenye vikao kwa sababu wamewatuma kwenda kufanya maamuzi muhimu.
Mkasema kwenye masuala muhimu ya kitaifa, pesa(gharama) isiwe kikwazo katika maamuzi ya kuonyesha live.
Two month down the lane, mmeitisha vikao vya kitaifa ambavyo ni muhimu lakini cha kushangaza mmeshindwa kuyaishi maneno na madai yenu ya kuonyesha vikao live achilia mbali kuiona demokrasia ikitamalaki ndani ya vikao.
Huu ulikuwa ni muda wa kuionyesha serikali na wananchi wengine kuwa you walk the talk.
If you want people to take a note, you must be one also live by example.
Huu ni muda wa kuyaishi madai yenu!
Huyu mtoa post ni Mr ziro kweli kweliUnalinganisha mkutano wa chama na bunge la nchi?
SafiMkuu nikumbushe ni lini vikao vya kamati kuu ya CCM vilikuwa live lini?
Mimi ninachojua hao wajumbe wanawahusu wana CHADEMA. Wanapotoka hapo watawafikishia wanachama wao taarifa kamili.
Nina uhakika hakuna uhusiano wa unachokisema kati ya bunge lenye wawakilishi wa vyama vyote na chama kimoja cha siasa.
Lakini unaonekana huijui CHADEMA usithubutu kujiunga nao maana huna sifa. Kisha unachokifanya ni ku Talk the Walk ni haki yako maana kinyume chake huna uwezo nacho
Una maana gani?Chadema ni uwekezaji usiotabirika-mwanJF
Ruzuku wanazopewa chadema ni kodi zetu pia...tuna haki ya kujuaMuambie kwanza Nape haya maneno wananchi wanataka kuona bunge live kwa kuwa TBC inaendeshwa kwa kodi yao na wabunge wako bungeni kwa kura zao. Bunge live kwa manufaa ya nchi.
Baraza kuu au kamati kuu?Mkuu nikumbushe ni lini vikao vya kamati kuu ya CCM vilikuwa live lini?