I had a one night stand with a lady and she got pregnant. I work overseas and have realised that despite all the finacial support I give her, she is not looking forward to developing me or even saving for our daughter.
I have visited her relatives but I have no legal commitment with her other than providing financial support. I don抰 even feel any love for her. If i let her stay with my daughter, does it have any legal implications? I do not want to waste any more time on her. We talked about it but she seemed unmoved. Advise me.
Usiku mmoja na mwanamke usiyemjua , bila kutumia kinga ni kosa sana, utakuwa na uhakika gani kama mtoto ni wako au umebambikiwa.
I had a one night stand with a lady and she got pregnant. I work overseas and have realised that despite all the finacial support I give her, she is not looking forward to developing me or even saving for our daughter.
I have visited her relatives but I have no legal commitment with her other than providing financial support. I don抰 even feel any love for her. If i let her stay with my daughter, does it have any legal implications? I do not want to waste any more time on her. We talked about it but she seemed unmoved. Advise me.
Sasa na wewe unashangaza na kutia uchungu zaidi, yaani one night stand unauza timu??? unategemea nini hapo... responsibilities na charities zinaanzia nyumbani. na wewe na mwenzio wote mmenyesha mapungufu kwa kuchapana kavu on a one night stand
you rip what you saw... kama hamkuanza ki-responsibe inakuwa ngumu kubadilika
Lakini usife moyo, mshauri mwenzako ili mlee mtoto
kwanza wewe huyo mama ulimtrust kiasi cha kutotumia kinga??? hujijali kabisa maisha yako, unauliza mimba??? nao ukimwi unaupata baada ya mara ngapi???
Watu bana, hayo ya ukimwi yanakujaje hapo? nyie mmeombwa mtoe ushauri juu ya mtoto......mnaanza kuleta bla bla.....hamjaombwa hayo bana!......kuwa na one night stand na lady haimaanishi eti huyo demu ni malaya fulani ...ni possible alikuwa demu wake au mchumba wake fulani....sasa nyie mlitaka aingie huko na ndom?
Back to ushauri, kwanza jiridhishe kuwa yule ni mwanao, pili kama utaridhika kuwa ni mtoto wako endelea kumtunza na investment for her uzifanye mwenyewe kama member mmoja alivyoshauri hapo juu!

Kwani mimba inaingia mpaka muwe mmekutana mara ngapi?

Jamani msimlaumu sana jamaa kuna watoto jamani wapo so hot dah unaamua kupiga kavu tu na unakuwa na ujasiri mkubwa sana eti ukimwi kitu gani wangapi wamepata nitakuwa mimi toto kweli so hot.
wewe mwenye busara mbona hukuona kuwa kasema he doesnt feel anything for her...so ni demu yake bado??? tena kama ni demu yake haingekuw ione night stand.... ya ukimwi makubwa kuliko hayo ya mimba wacha kumtetea saaaaaaaaaaana...ukweli usemwe!!!
sasa afanyeje kakutana na jamaa akamwambia yuko kikazi ulaya kwanini asimlengeshee?na hapo wote hawapendani demu naona anaangalia mfuko tu na huyo mtoto ni kama mtaji,ushauri wangu siku ingine usiviamini sana videmu vya uswazi,hilo lililokupata sasa inabidi udili nalo we kidume bwana huwezi kukosa uamuzi mpaka tukushauri la kufanya unalijua kalaghabaho...namlaumu huyo binti aliyesimamisha nae 'usiku mmoja'. Inaonekana 'alimlengeshea' mwanajaamii wetu hapa, iweje hakuzijua siku zake za hatari bana?!