Playstore on Nokia XL

MTU ALIYE NYIKANI

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
345
Reaction score
462
Msaada jamani wa namna ya kuinstall google playstore katika simu yangu ya nokia xl, nimejaribu naona nimeshindwa, msaada zaidi tafadhali.
 
Umeroot? Nadhani hiyo ndio njia pekee ili utumie official android os version bila hivyo ni ngumu.
 
Chek kwenye google features za hiyo simu, uwezi kuinstall google play store na baadh ya application. Download moboginie utumie badala.
 
zimu zote za nokia x .... hazina playstore MICROSOFT hapatani na WENGINE anapenda kuwa kivyake vyake , ameingia kati android kwa kuwa haina jinsi ndio soko linavyotaka. kwa wale wanaopenda ku download .apk files namaanisha application za android. ingia kwenye browser yako ya NOKIA X andika www.1mobile.com HAPO IKIFUNGUKA DOWNLOAD hiyo software install ikimaliza swip to left mara tatu unaona bar ya search hapo unaweza download application yeyote uijuayo hata kwa zile zinazouzwa ni full free. Pia ndio njia mbadala ya PLAYSTORE kwani playstore imeshakuwa kimeo hata kwa android za kawaida ina crash sana.HAIITAJI GOOGLE ACCOUNT FULL KUJIMWAGA for Guide 0715-387545 or 0768-387545
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…