Bloggers wengi wanadai haitokuwa tofauti sana na bei ps4 wakati ina launch, kwahiyo itakua kwenye $399 mkuuhiyo si pad mkuu, nilidhani wametoa muonekano wa console yenyewe, ila bei yake itakuwa sio mchezo, maisha yakininyookea labda nitatimiza ndoto yangu ya kumiliki kama pia sitotamani kitu kingine
kwa bei ya tsh ni ngapi hiyo mkuu ? maana haya mambo ya ku calc dollar kuja tsh huwa sijuiBloggers wengi wanadai haitokuwa tofauti sana na bei ps4 wakati ina launch, kwaio itakua kwenye $399 mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Kama Tshs 925,000/= safi kabisa unamvuta mwali ndani uyo.kwa bei ya tsh ni ngapi hiyo mkuu ? maana haya mambo ya ku calc dollar kuja tsh huwa sijui
hako ni ka mshahara kabisa boss😂 yahitaji miezi kadhaa kujipangaKama Tshs 925,000/= safi kabisa unamvuta mwali ndani uyo.
Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
PS4 ni around 1M...PS4 Pro ni kama 1.2M...Lazima iwe juu ya hapo.Kama Tshs 925,000/= safi kabisa unamvuta mwali ndani uyo.
Sent from ONEPLUS 5T using Tapatalk
Naunga mkono hoja mkuu, namimi ni shabiki mkubwa sana wa XBOX controller jinsi inavyojaa mkononi, ila napendelea PS kwa sababu tu wana exclusive games nyingi nzuri.mimi napenda huu muundo wa xbox, umekaa kiume sana ukishika mkononi inajaa. kwenye long game session hata hivi viunga vya dole gumba vinarelax.
PS5 itafika usd 500Bloggers wengi wanadai haitokuwa tofauti sana na bei ps4 wakati ina launch, kwahiyo itakua kwenye $399 mkuu
Sent using Jamii Forums mobile app
Wametenganisha siku hizi direction. Maana ilikuwa ukitumia direction ni kama log tu.Mimi napenda huu muundo wa xbox, umekaa kiume sana ukishika mkononi inajaa. kwenye long game session hata hivi viunga vya dole gumba vinarelax.