PlayStation gammers Thread

Hakuna anaekodisha ps humu maana kitambo mno sijacheza 👀👀
 
Torrent games 4 jailbroken ps3s wengine tunaprefer online services ndo maana tunatumia cds


mi naenda online vizuri tu na torrent games. hebu nitafute nikuonyeshe ujanja :eyebrows::eyebrows::eyebrows:



sema the only difference kati ya mimi na wewe ni kwamba siwezi jiunga na PSN Plus (and I dont need it anyway) na I run the risk ya kufungiwa account yangu
 
mi naenda online vizuri tu na torrent games. hebu nitafute nikuonyeshe ujanja Sema the only difference kati ya mimi na wewe ni kwamba siwezi jiunga na PSN Plus (and I dont need it anyway) na I run the risk ya kufungiwa account yangu

Hupati utube man hicho ndo muhimu kwangu.
 
Sijawahi kufikiria kutumia YouTube kwa PS3. mi labda nikuulize why do that wakati laptop+ HDMI ndo nilipo?

na hata bila hiyo, is it worth it really kununua kila CD za PS3 zilivyo bei ghali franco15
 
leh sure cd ni ghali ila me nanunua fifa tu per year inatosha zengine naagiza ebay kwa bei nafuu(used) main reason ni kwamba nina superslim ps3 no jailbreak labda utumie cobra ode ambayo bei ni noma.
 
Reactions: leh
leh sure cd ni ghali ila me nanunua fifa tu per year inatosha zengine naagiza ebay kwa bei nafuu(used) main reason ni kwamba nina superslim ps3 no jailbreak labda utumie cobra ode ambayo bei ni noma


Hapo nimekuelewa kaka. nimekuPM username yangu ya psn na digits zangu ili tukutane hapo fifa 15. i game online mostly usiku.
 
leh,

a) Nna ps3 mbili slim model cech-3003b on OFW 4.46 na 3.72

Nipo maeneo ya mbezi kimara
 
Last edited by a moderator:
unfortunately kaka kkenzki model hiyo siwezi fanya jailbreak.
uishofu lakini, soluitons nyingine ni kama aidha

1. tukafunga Cobra ODE (hichi ni kifaa kinafanya OFW kuona kama umeweka Disks ukitumia external). hii method ni a bit expensive but inafanyika on ANY PS3 (angalia bei kama hii New Cobra Ode 5 30A Version Tools Kit for All PS3 Console 2K5 3K 4K Fat | eBay)

au

2. ukauza na kutafuta model ya chini ambayo ni jailbreakable. hapa dar wanunuzi ni wengi tu. if you decide to go down this route, nitakuambia models to look out for

nakuskiliza mkuu
 
hapo nimekuelewa kaka. nimekuPM username yangu ya psn na digits zangu ili tukutane hapo fifa 15. i game online mostly usiku

Poa bac ntakuchek kesho ntakutumia friend request ila uwe unajiweza sio nakutandika sita bila maana me nimeshindikana
 
Reactions: leh
leh,

Suggest the models for me.
 
Last edited by a moderator:
Ni jinsi gani naweza jailbrake ps2 iweze kuplay game za kwenye flash?
 
Ps4 console au cd? Kama console unapata kwa 1 million bongo ila nje hata laki 7 unapata


samahani mkuu mi mgeni na mambo haya but natamani kuyajua, naomba kujua tofauti ya console na cd games.nawasilisha
 
samahani mkuu mi mgeni na mambo haya but natamani kuyajua, naomba kujua tofauti ya console na cd games.nawasilisha

Console ni deki inayocheza game eg playstaion console au xbox hizo ni consoles cd games limejielezea ni cd za games ambazo huchezwa kwenye consoles
 
PS3 on SALE
Ipo kwenye good condition unapata na Cd ya Fifa 14 NA pia ndani kuna movies plus vidios ,hivyo vyote vilikwepo
Nipo Dar, 4 serious buyers ni PM au nicheki kwa 0716228588
 

Attachments

  • 1437984432361.jpg
    54.2 KB · Views: 111

kaka nina ps3 yangu zile slim za kwanza... mwanzo ilikuwa na 3.50 na jailbreaked kwa gaia manager.. baadse dogo akajisahau akaweka cd ambayo ikaalibu jail break kwa update yake.. sasa imekuwa 3.74

je.unaweza nisaidia ku jail break?
 
Any PS4 members? Play Online?? Oh and i have quite the library for my old PS3 games. Will sell them as a bundle. All brand new(stored away after i finished playing the game) $60 a game(receipts inside) so that's a $600 value collection. I'm selling everything for $100. The catch is, siishi bongo. Nipo marekani. So i don't know what shipping methods you'd prefer. I had GTA 5 but gave it away.
 

Attachments

  • 10956632_10204232386745678_169353333568369606_n.jpg
    53.5 KB · Views: 101

Mkuu hauuzi separately? Me nataka red dead redemption na call of duty
 
FIFA PLAYSTATION COMPETITION 2015 yanakuja jamaani tukutane siku ya 26th na 27th December...tuone nani atakuwa KING WA FIFA TANZANIA NZIMA Ni paleeew THE AGA KHAN DIAMOND JUBILEE.....Kwa info follow FIFA_playstation_competition..
Mshindi anaondoka na 1m
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…