Ps3 whole sale price ni usd 299 for 120 gb ps3 but hiyo ni bei ya jumla wanayouziwa wholesellers wakauze kwenye retails shop zao, so uki pluz transport cost, tax and profits za hao retailers mara nyingi ps3 ya 120gb inauzwa around 400 usd,,, I buy mine in sony shop dubai for 400 usd na nilikuwa nawabishia kwa nini wanauza hivyo wakati sony wamesema wanauza 299 ndo wakanipa maelezo, katika pita pita zangu sehemu nyingi dunian ps3 ya 120 gb ni 400 usd while ya 320 gb ni 470 usd.... Zaidi ya hapo ni ufisadi unafanyika kama bei za mliman city for super normal profits