Mngoni asiyepiga gambe
Senior Member
- May 4, 2017
- 167
- 331
Kibongobongo pia kuna Ajibu, Ndemla pia kuna mwamba alicheza Simba anaitwa Mohamed sikumbiki jina la pili ni kiungo fundi sana alitoka MtibwaLunyamila
BOBAN.Kibongobongo pia kuna Ajibu, Ndemla pia kuna mwamba alicheza Simba anaitwa Mohamed sikumbiki jina la pili ni kiungo fundi sana alitoka Mtibwa
Giuseppe RossiHONOURABLE MENTIONS
Yes alifanikiwa kwa mengi ingawa kwa kulinganisha matarajio yaliyokuwa juu yake na kile alicho kionyesha uwanjan na game time ndogo ambayo amekuwa akipata ni fair kusema hajafikia full potential ni expectation against personal achievementThiago Alcantara mtoe hapo kwenye hiyo list yako. Japo kweli aliandamwa na majeruhi sana aliki alicheza kwa maganikio na ana honours (vikombe) vingi sana. Tofauti na hao wengine kwenye hiyo list.
ENGLISH SUPER CUP WINNER
2023
Liverpool FC
ENGLISH LEAGUE CUP WINNER
2022
Liverpool FC
ENGLISH FA CUP WINNER
2022
Liverpool FC- 7
GERMAN CHAMPION
19/20
Bayern Munich
18/19
Bayern Munich
17/18
Bayern Munich
16/17
Bayern Munich
15/16
Bayern Munich
14/15
Bayern Munich
13/14
Bayern Munich- 4
GERMAN CUP WINNER
19/20
Bayern Munich
18/19
Bayern Munich
15/16
Bayern Munich
13/14
Bayern Munich- 2
CHAMPIONS LEAGUE WINNER
19/20
Bayern Munich
10/11
FC Barcelona- 3
GERMAN SUPER CUP WINNER
18/19
Bayern Munich
17/18
Bayern Munich
16/17
Bayern Munich
GERMAN CUP RUNNER-UP
17/18
Bayern Munich- 2
FIFA CLUB WORLD CUP WINNER
2014
Bayern Munich
2012
FC Barcelona- 3
UEFA SUPERCUP WINNER
13/14
Bayern Munich
2012
UEFA Super Cup
11/12
FC Barcelona- 4
SPANISH CHAMPION
12/13
FC Barcelona
10/11
FC Barcelona
09/10
FC Barcelona
08/09
FC Barcelona- 2
EUROPEAN UNDER-21 CHAMPION
2013
Spain U21
2011
Spain U21- 2
SPANISH SUPER CUP WINNER
11/12
FC Barcelona
09/10
FC Barcelona- 2
SPANISH CUP WINNER
11/12
FC Barcelona
08/09
FC Barcelona
EUROPEAN UNDER-17 CHAMPION
2008
Spain U17
Redondo na Veron hawastahili kuwemo kwenye hiyo list.Binafsi ushawah kumtabiria makubwa mchezaj halafu ghafla ukashangaa anapotea kwenye raman ya soka ama kwa kushuka kiwango, majeraha ,au kuhama timu moja kwenda nyingine?
Kwa mtazamo wangu wafuatao ni miongon mwa wachezaj wanaoangukia kwenye kundi hilo.
1.JACK WILSHERE Changamoto za majeraha ya mara kwa mara ilikuwa chanzo kikubwa cha kumpoteza kwenye raman ya soka kiungo fundi kabisa wa kiingereza aliwah kuitwa jina la utani Jack Wheelchair, usiku mmoja pale Emirate aliwatia mfukoni Xavi na Iniesta na kuisaidia kuiibua Arsenal na ushindi wa 2-1 dhidi ya Barcelona. Pia anakumbukwa kwa kufunga the "best tik tak goal ever" dhidi ya Norwich 2013(kalione you tube)
2. PAUL POGBA Yes ameshinda kombe la dunia akiwa na les blues 2018 ila ni mambo machche unayoweza kumpamba nayo kama mafanikio yake binafsi kwa umri wake na mwenendo wa mambo ya nje ya uwanja ni ngumu kutabiri kama tutamuona kwenye level za juu tena
3. RICARDO QUARESMA Kama uliwahi kuupenda mpira uliwahi kumpenda Quaresma huyu mtu hahitaji utambulisho mwingi,he was simply the best.
Kama nakumbuka vizuri ni mtu wa kwanza kumuona akipiga Rabbona
4 ABOU DIABY Mwamba kabisa huyu pengine ni miongon mwa wale wachezaj wasiotabirika sana kwa kiwango uwanjan ila siku akiamka vzr utafurahi na roho yako ππ
5.THOMAS ROSICKY Ushawahi kumuona Uncle Tom akisakata kabumbu kwenye ubora wake?
Duh nyakati zimeenda wapi?
Siwezi kumuelezea huyu mtu mchawi mdogo "little mozart"
6 THIAGO ALCANTARA Matarajio makubwa kwa kijana wa La Masia kuvaa viatu vya Xavi yalianza kufifishwa zaid na majeraha ya mara kwa mara bahati nzuri ni kuwa ana kumbukumbu ya ubingwa wa UEFA akiwa Bayern.
7 BALOTELLI - Mourinho aliwahi kusema akiwa Inter usiku mmoja wa UEFA wakiwa Kazan alitumia dkk takriban 10 kumuasa Balotelli asipate red card maana mafowad wake wote Etoo na Millito walikuwa injury kilichofuata dkk 46 mwamba akachezea second yellow na red pia , ni dhahiri kipaji chake kilifichwa na mwenendo wa matendo yake yasiyopendeza ndan na nje ya uwanja kaangalie YouTube akipiga kisigino na mpira kwenda nje karibu na lango la LA galaxy π
8 NEYMAR Yes ni miongon mwa wachezaj bora kwa miaka ya karibuni ingawa tuzo na mafanikio binafsi yanapingana na hilo huenda wakati wake bora zaid ni ule aiitumikia Barcelona na kubeba UEFA mbele ya vibibi kizee vya Turin Juventus 2015 majeraha na kiwango kisichotabirika vimeonekana kuanza kumtoa kwenye raman taratibu.
9 BOJAN KIRKIC ; La Masia wonderkid who dissapeared in thin air.
10 MACHEDA anakumbukwa zaid kwenye mechi ya Man utd vs Aston Villa ambapo alitokea benchi na kufunga magoli mawili na kuisaidia Man u kuibuka na ushindi wa goli 3 kwa 2 dhidi ya Villa dume kabisa kuwahi kutokea ya kina Barry, John Carew, Petrov, Aghbanlahor,Young.
HONOURABLE MENTIONS ARSHAVIN, ROBINHO, PODOLSKI, VERON, REDONDO,JANUZAJ
MY TAKE" UJIO WA MBINU ZA KISASA KWENYE UFUNDISHAJI WA SOKA (SOKA LA MAABARA) LIMECHANGIA KWA KIAS FULAN KUWATOA KWENYE RAMAN WACHEZAJI WENYE VIPAJI HALISI NA VYA KUBURUDISHA KAMA NILIOWATAJA HAPO JUU".
LET ME KNOW YOUR THOUGHTS.
Van Persie? Acha utani.Robin van persie,jack wilshere
wana utani awa eti Thiago alcantara hajafikia ponteial yake alivokiwasha vile Bundesiliga na champions leuage akiwa na munich pia Rob van persie mpira hauna unachomdai kama Champions leauge wachezaji kibao tu hawajatwaaVan Persie?
Mo IbrahimKibongobongo pia kuna Ajibu, Ndemla pia kuna mwamba alicheza Simba anaitwa Mohamed sikumbiki jina la pili ni kiungo fundi sana alitoka Mtibwa
I go with QuaresmaBinafsi ushawah kumtabiria makubwa mchezaj halafu ghafla ukashangaa anapotea kwenye raman ya soka ama kwa kushuka kiwango, majeraha ,au kuhama timu moja kwenda nyingine?