Friday Malafyale
JF-Expert Member
- Jan 18, 2017
- 1,819
- 2,942
Uko wapi ndg yangu?Ikifika tarehe 3 mwezi wa pili kama bado ipo nicheki 0625579184
hilo ni vumbi ndg ilikuwa mkoani Shinyanga Kahama huko, na ilikuwa ndani tuu hyo sio Rust ni dustPS3 lakini imechoka na imejaa kutu kama PS1.....lol
Haya buana kila la kheri kwenye biashara yako.....Lakini wala haihitaji degree kutofautisha rust na dust[emoji19] hivi ni dust gani inakaa kwenye chuma tu[emoji19] hebu angalia tena USB Ports na uniaminishe tena kwamba hizo ni dust[emoji23]hilo ni vumbi ndg ilikuwa mkoani Shinyanga Kahama huko, na ilikuwa ndani tuu hyo sio Rust ni dust
poa poa naona kuna mtu anakunyegeza unacheka aiseeHaya buana kila la kheri kwenye biashara yako.....Lakini wala haihitaji degree kutofautisha rust na dust[emoji19] hivi ni dust gani inakaa kwenye chuma tu[emoji19] hebu angalia tena USB Ports na uniaminishe tena kwamba hizo ni dust[emoji23]
Na ww unataka kunyegeshwa???? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]poa poa naona kuna mtu anakunyegeza unacheka aisee
Na ww unataka kunyegeshwa???? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
mwenyewe nimeshangaa utadhani ilikuwa inaburuzwa na trekta!PS3 lakini imechoka na imejaa kutu kama PS1.....lol