Wapeleke TAKUKURUWakuu salaam. Niende moja kwa moja kwenye mada. Ilikuwa mwezi wa nne mwaka huu nilipata dharura ya kifedha; ni shida ya haraka ya fedha so nikaona niende kwa hawa jamaa wanajiita Platnum Credit...
Mkuu Ni mbaya sana kukimbilia kucoment bila kusoma na kuelewa hoja,hebu soma hoja kwa umakini then ulinganishe na ulichoandika hapaNenda kwa afisa Utumishi wako wataandikiwa barua waje Na ww uwe na vielelezo vyote baada ya hapo ni mahakaman watalipa hela yote walio kukata ila kama uli top kesi nyingine hiyo
Yaani tumepiga kelele weee! Lakini bado kuna watu wanatuzunguka, na kwenda kukopa tena kwenye hizo taasisi katili za kifedha!!!Kila siku mnambiwa platinum, bayport na waume zao msikope nyie mnaenda tu.