S Slm Senior Member Joined Jan 26, 2011 Posts 103 Reaction score 4 Apr 9, 2016 #1 Kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana plate za majiko ya gas anifahamishe please
Auz JF-Expert Member Joined Apr 6, 2016 Posts 13,738 Reaction score 11,644 Apr 12, 2016 #2 Kama una picha inaweza kusaidia nini hasa unaongelea.
Wonderful JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 7,347 Reaction score 5,998 Apr 12, 2016 #3 Auz said: Kama una picha inaweza kusaidia nini hasa unaongelea. Click to expand... Anamaanisha ile sehemu wanapoweka masufuria wakati wa kupika mkuu. Kuna mengine yana plate 1,2,4!!
Auz said: Kama una picha inaweza kusaidia nini hasa unaongelea. Click to expand... Anamaanisha ile sehemu wanapoweka masufuria wakati wa kupika mkuu. Kuna mengine yana plate 1,2,4!!
mlivatwa New Member Joined Mar 10, 2016 Posts 3 Reaction score 1 Apr 12, 2016 #4 Kuna duka moja lipo clock tower wanauza pale
S Slm Senior Member Joined Jan 26, 2011 Posts 103 Reaction score 4 Apr 14, 2016 Thread starter #5 mlivatwa said: Kuna duka moja lipo clock tower wanauza pale Click to expand... Asante sana kwa michango yenu ngoja nikajaribu hapo clock tower
mlivatwa said: Kuna duka moja lipo clock tower wanauza pale Click to expand... Asante sana kwa michango yenu ngoja nikajaribu hapo clock tower
mischa JF-Expert Member Joined Mar 29, 2012 Posts 367 Reaction score 177 Apr 14, 2016 #6 Slm said: Asante sana kwa michango yenu ngoja nikajaribu hapo clock tower Click to expand... Au nenda kariakoo maduka yale yanayouza majiko ya Gas huwa pia wanauza vifaa vya majiko kama hizo plates.
Slm said: Asante sana kwa michango yenu ngoja nikajaribu hapo clock tower Click to expand... Au nenda kariakoo maduka yale yanayouza majiko ya Gas huwa pia wanauza vifaa vya majiko kama hizo plates.
S Slm Senior Member Joined Jan 26, 2011 Posts 103 Reaction score 4 Apr 14, 2016 Thread starter #7 mischa said: Au nenda kariakoo maduka yale yanayouza majiko ya Gas huwa pia wanauza vifaa vya majiko kama hizo plates. Click to expand... Samahani mkuu kariakoo sehem gani
mischa said: Au nenda kariakoo maduka yale yanayouza majiko ya Gas huwa pia wanauza vifaa vya majiko kama hizo plates. Click to expand... Samahani mkuu kariakoo sehem gani
M mchukiaufisadi JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 546 Reaction score 193 Apr 14, 2016 #8 Slm said: Kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana plate za majiko ya gas anifahamishe please Click to expand... Tabata baada ya Shule ya Msingi Liwiti kushoto kuna duka la vifaa vya gas kabla ya kituo cha Barakuda ukitokea Mandela Rd
Slm said: Kama kuna mtu anafahamu zinapopatikana plate za majiko ya gas anifahamishe please Click to expand... Tabata baada ya Shule ya Msingi Liwiti kushoto kuna duka la vifaa vya gas kabla ya kituo cha Barakuda ukitokea Mandela Rd
S Slm Senior Member Joined Jan 26, 2011 Posts 103 Reaction score 4 Apr 14, 2016 Thread starter #9 Okoanchi said: Tabata baada ya Shule ya Msingi Liwiti kushoto kuna duka la vifaa vya gas kabla ya kituo cha Barakuda ukitokea Mandela Rd Click to expand... Asante mkuu ngoja nijaribu pia hapo
Okoanchi said: Tabata baada ya Shule ya Msingi Liwiti kushoto kuna duka la vifaa vya gas kabla ya kituo cha Barakuda ukitokea Mandela Rd Click to expand... Asante mkuu ngoja nijaribu pia hapo
Sir_Mimi JF-Expert Member Joined Jun 21, 2013 Posts 7,207 Reaction score 15,880 Apr 14, 2016 #10 Piga No 0713403785 Beda Gas Supp,pia jamaa anakufanyia installation kama ukitaka,wapo K/koo Uhuru/Livingstone str,Keys Hotel.
Piga No 0713403785 Beda Gas Supp,pia jamaa anakufanyia installation kama ukitaka,wapo K/koo Uhuru/Livingstone str,Keys Hotel.
S Slm Senior Member Joined Jan 26, 2011 Posts 103 Reaction score 4 Apr 14, 2016 Thread starter #11 Sir_Mimi said: Piga No 0713403785 Beda Gas Supp,pia jamaa anakufanyia installation kama ukitaka,wapo K/koo Uhuru/Livingstone str,Keys Hotel. Click to expand... Nashukuru mkuu nitacheck nae
Sir_Mimi said: Piga No 0713403785 Beda Gas Supp,pia jamaa anakufanyia installation kama ukitaka,wapo K/koo Uhuru/Livingstone str,Keys Hotel. Click to expand... Nashukuru mkuu nitacheck nae
SOSDANNY JF-Expert Member Joined Feb 17, 2013 Posts 453 Reaction score 444 Apr 14, 2016 #12 mlivatwa said: Kuna duka moja lipo clock tower wanauza pale Click to expand... Mkubwa ukisema clock tower basi sema na mkoa, kwani arusha Kuna clock tower, mwanza, pamoja ya Dar ni maarufu zaidi, sasa wewe unasema clock tower ya mkoa gani?
mlivatwa said: Kuna duka moja lipo clock tower wanauza pale Click to expand... Mkubwa ukisema clock tower basi sema na mkoa, kwani arusha Kuna clock tower, mwanza, pamoja ya Dar ni maarufu zaidi, sasa wewe unasema clock tower ya mkoa gani?