Plate number mpya za bodaboda

Plate number mpya za bodaboda

Quezon

Member
Joined
Mar 21, 2014
Posts
42
Reaction score
18
Habarini wana jukwaa? husikeni na kichwa cha habari hapo juu, deadline, utaratibu pamoja na gharama ya kubadilisha plate namba za pikipiki TRA zenye mfumo namba wa zamani, kwa mfano T 174 ABC na kwenda namba mpya zenye kuanzia na MC 123 ABC. nawakilisha.
 
Back
Top Bottom