Salary Slip
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 48,694
- 149,919
Naomba kujua mapema tu maana nadhani hiki ndio UKAWA wanaweza kuja kukifanya hapo baadae iwapo Meya hatatoka UKAWA na wao watakuja kutumia wingi wao kumtoa wasiomtaka maana watakuwa hawana njia nyingine zaidi ya kutumia wingib wao.
Ninachotaka kujua ni kura kiasi gani zinahitajika kumuondoa Meya.Je ni zaidi ya nusu,theluthi moja au mbili ya kura zote n.k ili nijue kama hili litaweza kuja timia siku zijazo.
Nimewaza haya kwasababu mmoja wao akimwaga ugali,basi mwingine anaeweza kumwaga mbogo.
Hatari iliyopo kwa hatua kamaa hii itakuwa ni kutoa justification ya kuunda Tume kuongoza jiji kwa kisingizio cha mivutano ya kisiasa.