Plan of god

Hahahaaa.. ndo mumfundishe maisha ya humu asiendelee kuwaaibisha
acha tu, kuna uzi mwingine uko nimeuona halafu sijaelewa...
sijui hata anaumri gani kwanza maana usikute kamaliza mtihani juzi,
 
Au kanunua smartphone juzi.. au anafananisha humu na facebook. Maana hata insta watu wa aina yake hawapo
 
ngoja azoee kwanza vurugu za humu atajiJudge mwenyewe badae....kama sio kuitelekeza hii ID,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…