Brytonzablon
Member
- Oct 31, 2017
- 66
- 44
Unaishi mwanza sehemu gani Mkuu?Plan of God ni zaliwe
Aaah sio mwanza huyu mkuuUnaishi mwanza sehemu gani Mkuu?
Hii namba mwanza au lushoto...Aaah sio mwanza huyu mkuu
Acha kuishi jirani na bar. Hizo sehemu ni maalum zaidi kwa ajili ya guest houses!Buzuruga jirani na skyway bar
Lushoto moja hiyoHii namba mwanza au lushoto...
Ngoja.
Kasema Mwanza.. huoni swagga zake za kisukuma kabisaLushoto moja hiyo
Msukuma gan huyu gadamnit anatuaibishaKasema Mwanza.. huoni swagga zake za kisukuma kabisa
Umeelewa ni kwa nini unapata maoni "machachu"?Hapana ni mazingira ya makazi kaka
sijui ni wawapi huyu...[emoji20][emoji20]Msukuma gan huyu gadamnit anatuaibisha
Hahahaaa.. ndo mumfundishe maisha ya humu asiendelee kuwaaibishaMsukuma gan huyu gadamnit anatuaibisha
[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]sijui ni wawapi huyu...[emoji20][emoji20]