Plan International

swiswi

Member
Joined
Jun 25, 2013
Posts
27
Reaction score
3
Jamani hawa Plan international wanahusika na nn hasa na wako wapi?:sad::sad:
 
Jamani hawa Plan international wanahusika na nn hasa na wako wapi?:sad::sad:

Plan International ni NGO ya kimataifa inayodeal na mambo ya kutetea haki za watoto, afya ya jamii, elimu kwa jamii na pia mambo ya water sanitation.Makao makuu ya Plan international kwa hapa Tanzania yapo pale karibia na TBC na baraza la mittihani NECTA.Ama naweza nikasema kuwa ukishuka gari kituo cha Bamaga palealipogongewa yule askari trafiki kama unatokea Posta ama K'koo vuka barabara ama kama unatokea Mwenge rudi nyuma fuata barabara ile ya kwenda NECTA ukinyosha na hicho kibarabara geti utakaloliface ndiyo humo kwenye nyumba kuna PLAN INTENATIONAL TANZANIA.All the best na Mungu awe nawe daima
 
hata ukiandika plan international Tanzania kwenye google search utapata information za kutosha. Ni sawa na kuwatembelea ofisini kwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…