Non-Shatter
JF-Expert Member
- Dec 2, 2014
- 597
- 266
Haiwezekeni mchezaji makini aliejindaa kwa mechi afunge bao kwa mkono. Goli kama hilo litafutwa na refa. Naomba wananchi wapuuzie maneno ya upuuzi kama hayo.
kufunga goli la mkono ni faul na moja kwa moja litakataliwa na refa ambayo ni tume ya uchaguzi. Kauli mbaya kama hizo zinaweza kufanya wananchi kukosa imani na serikali na kuleta machafuko na ninaamini haya ninayoyasema ndio msimamo wa chama changu... Pius Msekwa.... 2.07.2015 (ITV, kipindi cha Mzelendo)....
Magoli ya mkono ndiyo yanayoifanya ccm iendelee kubaki madarakani. Nape yuko sahihi.
Wamependa kukiua chama shauriyao
Habari ya mjini ni lowasa. ...ccm wakmptsha lowasa kura za vijana wanazo tunataka fursa lowasa kashba hatutak rais njaa wa kutuletea ma dc njaa kama kna makonda
Narudia tena asiyetaka basi ahamie nchi nyingine kwani H.E EDWARD LOWASA ndo next Presida of die U.R.T 2015-2020.
Unakumbuka usemi wa mbatia ktk mkutano mkuu wa nccr chungeni sanachama kife mara ngapi .ccm imeshakufa siku nyingi sana
Hata huyu Mzee amepima haliya hewa akaona asawazishe ki style.Ni kweli Mzee Msekwa hajui kama Chama chake ni mabingwa wa magori hayo?.Team yake haijawahi kufunga gori lahivyo nayeye akiwemo kwenye team?,aache kutuhadaa na ajue tunatambua kauli hiyo ya Nape ndi kauli ya Chama chao
Unakumbuka usemi wa mbatia ktk mkutano mkuu wa nccr chungeni sana
ameongea sahii Nape mropokaji sana