Pitia hii fursa

haina tofauti na upatu...

watu walipanda mbegu ktk DECI, mwisho wakatapeliwa.
 
Game la kijinga hilo! Wapiga dilli hao! Jpm kabana kila kona wanatafuta pa kutokea! Mkitaka Mali mtaipata shambani!
 
Utoe 1,000 upate 128,000,000,000. Hivi kuna watu wangesoma au kuteseka huko mtaani kufanya kazi au biashara?
 
Icharity
Helping Hands
Paysforever
Amkamwanamke etc


Pombe ile ile chupa tu ndio wanabadilisha.Na wabongo tupendavyo vitonga basi ndio kuumizwa daily
 
Mambo mengine hata hayaingii akilini. Usawa huu unaongea kirahisi rahisi namna hiyo
 
simuamini mtu kwenye pesa..labda niingie alafu mnipe niwe mtunza hazina
 
Nmeipend hat kw buk...kwel pes madafu
 
haina tofauti na upatu...

watu walipanda mbegu ktk DECI, mwisho wakatapeliwa.
Haina utapeli hiyo mkuu,kwa kuwa hela mnachangiana wenyewe,huwezi kumuaprove mtu wa chini ili apande grade paka akulipe
 
Hizi hesabu zimefikia kuzuri kumbe ile topic ya matrix ina mautamu hivi, haki mie na mathematics nitawarithisha wajukuuu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…