Hahaaa kwa usawa huu wa Mzee magu hata Mimi ndo ningekuwa dereva ningesimamisha gari tukushangae kwanzaKuna siku nimekaa zangu kwenye daladala konda akaja kudai nauli yake nikampa...akataka kunirudishia chenji nikamwambia noo..keep change...ilibidi daladala isimame watu wanishangae