Kila mtu ana chaguo lake..hebu tupia namba au herufi ya type zako kulingana na jinsia yako.
NB:USISAHAU KUTUJUZA WEWE NI YUPI PIA KATIKA HIZO HERUFI AU NAMBA.
Unataka kujirudi mkuu...usinisingizie mimi wakati kosa lako mwenyewe....halaf huyo mzazi mwenzio atakuwa ni C kama sikosei......ndo maana unataka kuji backup kiujanja.