habari zenu? samahani, naomba msaada kwa yeyote anaeweza kupakua majina ya waliochaguliwa ardhi, wengine tupo vijijini na simu zetu hazina uwezo wa pdf. ASANTE
niliangaliziwa na watu zaid ya wa3 wakanambia nimechaguliwa hapo, ila kuna wengne pia wamenambia kwenye list ya walochaguliwa na chuo,jina langu halipo. ndo mana nahitaji kuangalia mwenyewe nihakikishe, kwa yoyote ataekua tyr kunipa msaada kwa hili
Rejea kwenye post yake anataka mtu amsaidie kupakua majina ya waliochaguliwa ardhi. ndio maana nikasisitiza kuwa anataka kupakuliwa hivyo anayeweza amsaidie.