Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,075
- 74,486
Uko sahihi sana, lakni kuna baadhi naamini bado hatujaelewa na badala yake tunaelekea kwenye maneno ambayo ni ya kiingereza halisi ambayo yapo kwenye kiingereza cha kimarekaniWadau humu naona wanachanganya kati ya maneno ambayo yamebaki katika asili yake ya kiingereza na yale ambayo tanzania imeyatohoa na kuyatamka kwa kiswahili...nazani mleta mada anakusudia haya ambayo bado yapo kwenye lugha yake ya asili ya kiingereza halafu watu wanayakosea katika matamshi na si yale ambayo yametoholewa na kuwa sehemu ya lugha ya kiswahili,na hivyo si makosa kuyatamka kwa kiswahili. eg
Radiator=rejeta
Commission=kamisheni
chimney=chemli
frying pan=flampeni
video=video (kwa sauti ya kizaramo)