Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Lahaja inaaingiaje hapo hebu nieleze kuna lahaja kadhaa za English na zote zinatamka gift sio jift
kuna kitu kinaitwa phonology ni science inayozungumzia utamshi wa maneno ya kiingereza na kuna tofauti kati alphabets na sounds kwa mfano hilo alphabet "G" kwenye baadhi ya maneno inakua hivohivo mfno goal..ila kwenye gift ..inatamkwa tofauti...gift, geography.... angalia haya maneno goal, god ,gun
 
1. I have come on foot
2. I have come by foot
"By foot" hiyo ni english gani mkuu?
Ninachojua kwenye english tukiongelea njia za usafiri mara zote ndio tunaweka kuongelea by { mode of transportation} lakini tunapoongelea miguu, sio njia ya usafiri, inakuwa "on" ni body parts.
Ukiingia deep kwenye uses of on na by ndio utaona zaidi utofauti kwenye grammar.
3a438af7a624d42c74038b44f42883c2.jpg
 
Wadau humu naona wanachanganya kati ya maneno ambayo yamebaki katika asili yake ya kiingereza na yale ambayo tanzania imeyatohoa na kuyatamka kwa kiswahili...nazani mleta mada anakusudia haya ambayo bado yapo kwenye lugha yake ya asili ya kiingereza halafu watu wanayakosea katika matamshi na si yale ambayo yametoholewa na kuwa sehemu ya lugha ya kiswahili,na hivyo si makosa kuyatamka kwa kiswahili. eg
Radiator=rejeta
Commission=kamisheni
chimney=chemli
frying pan=flampeni
video=video (kwa sauti ya kizaramo)
 
WAKENYA NA WANIGERIA NAO NI WAHARIBIFU WAKUBWA WA MATAMSHI

1. Education .........wao wanatamka ...... Edukeshon
 
digba sowey/ digba zowe ikiwa na maana MTU nwenye akili sana zaidi ya dk shika.
 
Poa kwa kuichomoa a na kuwa frying. Kumbe fray sio sawa na fry. Lugha za watu bwana, acha tu
 
Wadau humu naona wanachanganya kati ya maneno ambayo yamebaki katika asili yake ya kiingereza na yale ambayo tanzania imeyatohoa na kuyatamka kwa kiswahili...nazani mleta mada anakusudia haya ambayo bado yapo kwenye lugha yake ya asili ya kiingereza halafu watu wanayakosea katika matamshi na si yale ambayo yametoholewa na kuwa sehemu ya lugha ya kiswahili,na hivyo si makosa kuyatamka kwa kiswahili. eg
Radiator=rejeta
Commission=kamisheni
chimney=chemli
frying pan=flampeni
video=video (kwa sauti ya kizaramo)
Kwa hiyo mkuu maneno kama rejeta, chemli, yameshaingia kwenye dictionary ya kiswahili? Ni vocabulary halisi za kiswahili?
 
Leo nimepigwa bao na traffic, hivi polisi wa barabarani wanaovaa nguo nyeupe wanaitwaje kwa kiingereza? Au ni matrafic?
 
Back
Top Bottom