Pita hapa ujifunze maneno ya kiingereza tunayoyatamka kimakosa, usisahau nawe kuweka ya kwako

Salute Comrade's.

Ni mada nzuri sana. Kuna kadhaa ya kujifunza.

Unazungumza na mtu kwenye simu anakuambia Nipo barabara ya Kilwa road. Ni makosa kiufundi.

Nipo barabara ya Kilwa road- Nipo Kilwa road.
Kuna tofauti gani na anayesema nipo CRDB Bank...?
 
Unachobishia unakielewa kweli au ndio asili ya ubishi kwenu?

Kirefu cha hizo herufi kiandike kisha yasome kwa Sauti kuu

Kwa kurahisisha ni (Co-operative Rural Development Bank) = CRDB so huwezi tena kuweka Neno Bank zaidi maana ukitamka hivyo na ukaja kuweka tena kifupi chake inakuwa CRDBB Ambapo ni Wrong!

Na NMB ni National Microfince Bank so ukiongeza neno Bank it means kifupi chake kiwe NMBB. Am sure wewe ni Mjinga na sio Mpumbavu maana Mjinga akishapata ufahamu huelewa na kuwa Mpole kama Mnyonge. Sawa Babu tunaeleweshana tu humu.
Unaweza maana hiyo ni brand ni kama vile Vodacom, neno com linasimama kama communication network, Halotel, neno tel linafupisha telecommunication......nk
 
Back
Top Bottom