Pita hapa kuna upendo

Tetramelyz

JF-Expert Member
Joined
Apr 25, 2014
Posts
4,372
Reaction score
12,479
Habarini za wakati huu wana jf wote. Mnaendeleaje ??

Ni siku nyingi kidogo tangu nichangie au kupost mada humu japo mimi si gwiji wa kuchangia na kupost kama wengine lakini yote ni mema na yanakubalika.

**.nimekosa cha kuposti.**
nikaona si vibaya nikiwatakia siku njema wooote watakaousoma huu uzi kwani hii pia ni ishara ya
upendo.

mimi ni mzima kabisa

nawashukuruni na kuwapendeni nyote...ahsanteni sana.
 
Mimi ni mzima kabisa.. nimekupenda pia mumyto
 
Ungeandika mwandiko mdogo nina "allergy" na mwandiko mkuu
 
Hii ungeleta usiku usiku ingekuwa powaaaaaaaaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…