Pita hapa endapo unauza biashara / kampuni yako

Pita hapa endapo unauza biashara / kampuni yako

Changamoto2015

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2012
Posts
773
Reaction score
316
Kama unauza established business au kampuni kutokana na sababu mbali mbali tafadhali weka details zake hapa ili wadau wachangamkie fursa.
NB: MTU anaweza kuamua auze biashara take kutokana na sababu nyingi, kwa mfano;
1) kubadili aina ya biashara 2) kushindwa kumudu ushindani ( competition) 3) kupata cash ili kutatua matatizo binafsi 4) mgogoro ndani ya kampuni baina ya wawekezaji na hivyo kuamua kuuza ili kila mtu ashike njia take 5) kukua kwa biashara hadi kufikia level ambayo ni ngumu kwa management iliyopo Ku control etc
Tafadhali weka details za kutosha unapouza biashara yako; bei, mahali ilipo, nature ya biashara yako na kwanini umeamua kuiuza
 
bado sijafikilia kuiuza, ila incase wazo likanipitiamo pembeni la kuuza what is your offer?

malipo yako yanavary kulingana na sector, capital, location, entity, current situation au unaangalia nn ili kujua bei?
 
Mkuu Mimi ninalo shamba langu hapa arusha,linaitwa Imani Estate.nimeamua kuliuza.Hekari 1000,ila kiukweli siwezi kuweka detail zoote kwenye post,ila ukiona unavutiwa nalo nitafute kwa namba 0787 957175.
 
bado sijafikilia kuiuza, ila incase wazo likanipitiamo pembeni la kuuza what is your offer?

malipo yako yanavary kulingana na sector, capital, location, entity, current situation au unaangalia nn ili kujua bei?

Inategemea na aina ya biashara mkuu! Ila kikubwa zaidi kinachoangaliwa kwa biashara zote ni uwezo wa kuingiza net cash baada ya malipo yote. Kwa mfano mtu anapotaka kununua kituo cha mafuta mbali ya location ataangalia mauzo yako Kwa siku on average ni litres ngapi? Baada ya hapo atajua hesabu ya mwaka na hivyo kufanya calculation ya payback period Kwa fedha utakayomtajia. Issue zingine ni liabilities za biashara; mfano madeni, tax liabilities, statutory penalties etc
Kingine kikubwa ni future viability of business. Mfano Leo hii ukitaka kuuza biashara ya kutengeneza mifuko ya plastic ile iliyopigwa marufuku bei lazima iwe chini mno maana mnunuzi hana alternative zaidi ya kuhamishia mitambo nchi ambazo bado hawajapiga ban.

Nimejaribu kukujibu in a layman language vile navyojua kwa uelewa wangu finyu maana valuation ya business ni professional work.
 
Nafikiria kuuza kampuni ya ukandarasi, ina madeni ya kodi
Ni class gani mkuu na je inadaiwa kodi kiasi gani? Annual return Mara ya mwisho imefanyika lini?
Na je hufikirii kufanya partinership na mdau ambaye yupo interested ili muendeleze kazi?
 
Annual returns zinafanyika kila mwaka, this year tutapeleka tra by March. Inadaiwa 4m for penalties for delay of submissions of pervious years, class 6 Electrical, civil and telecom
 
Back
Top Bottom