Piracy, Money Laundering, corruption, terrorism etc in Tanzania | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Piracy, Money Laundering, corruption, terrorism etc in Tanzania

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Hute, Mar 16, 2011.

 1. H

  Hute JF-Expert Member

  #1
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,917
  Trophy Points: 280
  Wajameni, naombeni kuuliza, katika nchi zilizoendelea, wanavyo vitengo maalum vinavyojitegemea vinavyohusu masuala ya money laundering, kukwepa kodi, piracy kama hii ya wasomali iliyoteka watz wenzetu, terrorism, corruption na case za kimafia....nchi hizi huweka kitengo maalum kabisa chenye investigators wa kutosha, prosecutors wa kutosha kwenye special departments kama hizo, na wanasheria wa kutosha. ndio maana ni vigumu sana kufanya rushwa kubwa, money laundering, na ugaidi nchi za magaribi...hata ukifanya usigundulike, its just a matter of time, kuna siku hata miaka 20 ikipita utajikuta uko kiganjani....

  lakini Tanzania, mambo haya yote tumeyaweka pamoja na criminal acts zingine...na mlolongo wa kufanya investigation ni uleule wa polisi ambao wengi wao ni majambazi na wara rushwa...kwanini Tanzania isiweke kitengo maalumu kushugulikia hili? au hata kuweka mahakama special tu ya kuprosecute hawa mapirates wa somalia at least to publicize ourselves..kama ilivyo kenya, wameingia mkataba na mataifa ya NATO, maharamia wakikamatwa kwenye international waters wanapelekwa mahakama za kenya....Tanzania wamekuja hadi chumbani wameteka ndugu zetu kwa miezi kibao..lakini tumechanganya makosa haya na makosa mengine tu ya jinai....corrupt officials hawa wangekuwa na kitengo chao binafsi, pesa za ugaidi zinazoingizwa nchini, money laundering inayofanywa na viongozi wetu na wafanya biashara, etc, vingekuwa na kitengo chao binafsi...hivi Tatizo hili la maharamia, magaidi, rushwa na money laundering litaisha lini Tz? bank ukienda hata hawakujui..

  nawakilisha kwa wale wanaoelewa hili jambo?
   
 2. H

  Hute JF-Expert Member

  #2
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,917
  Trophy Points: 280
  vitambulisho vya utaifa hatuna, bank kwenyewe wakitaka kukutrace hawakupati ukiamua....nyumba zetu hazina address, unaweza kuishi mtaani hata balozi humjui na hakujui, watu wanakula rushwa halafu wanaziingiza kununua assets kubwakubwa ili kuficha ushaidi, you are dealing with smart people here, si watu wa kufanyiwa upelelezi na polisi wa urafiki au kimara.....hivi utawakamata kweli? tutakuwa shamba la bibi hadi lini, na eneo la kufanyia uhalifu hadi lini? naomba selikali ilichukue wazo hili watengeneze kitengo maalum kinachodili na rushwa,uharamia,money laundering,terrorism etc, na kitengo cha Takukuru cha Dr.hosea kivunjwe kiingizwe mle ndani ya kitengo kitakacho dili na makosa hayo ya (Trans-national organised crimes) ambazo nimezitaja, ambazo zingine actually zinafanywa internally na zingine nchi moja hadi nyingine...hapo ndipo tutakuwa na uwezo wa kuchunguza kina Rostam ni watz? account zao zilizoko Tz, canada na iran, dubai, etc, hapo ndipo tutaweza ku confiscate proceeds of crime ambazo Tanzania zimetuingiza mjini kwa muda mrefu..bila kitengo maalumu hata kama kitakuwa bado chini DPP kama branch mojawapo, tutaweza kufuta rushwa na makosa mengine hayo pata tz.
   
 3. H

  Hute JF-Expert Member

  #3
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,917
  Trophy Points: 280
  kimyaaaaaaaaaaaaa, network hapa haifanyi kazi...kwenye mambo ya kikubwa zinafanya kazi..
   
 4. Juaangavu

  Juaangavu JF-Expert Member

  #4
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 3, 2009
  Messages: 915
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  Wazo lako ni zuri, lakini sidhani kwa katiba tuliyonayo ambayo inampaka Rais madaraka makubwa ya kuteua kila mtu muhimu itasaidia kitu. Kumbuka naye ni binadamu kama sisi; na vitengo vya namna hiyo vikianzishwa vitawekwa chini ya ofisi yake na watakuwa wanaripoti kwake. Vipi kama naye na marafiki zake watakuwa na madili yao, unafikiri hicho kitengo kitamfunga paka kengele! Tuombe vuguvugu la kuanzishwa katiba mpya lifanikiwe na tupate katiba mjarabu.
   
 5. A

  Amenibariki Member

  #5
  Mar 16, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 14
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wapi umeona mwizi akimtaarifu mlinzi? kuanzisha vitengo kama hivyo nikumaliza ufisadi sasa fisadi ndie ajianzishie kesi na hukumu hapo hapo?
   
 6. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #6
  Mar 16, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Wazo zuri, lakini katika nchi iliyogizani.
   
 7. H

  Hute JF-Expert Member

  #7
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,917
  Trophy Points: 280
  basi katiba mpya kweli ni ya muhimu, kwasababu katika nchi ya kidemocrasia, judge, mwanasheria mkuu, DPP and watu wengine wengi walioshika rungu wanatakiwa kupigiwa kura...kama yeye ndo anateua tu kila mtu, basi yeye rais anakuwa kila kitu, wale wengine ni mapambo tu.
   
 8. H

  Hute JF-Expert Member

  #8
  Mar 17, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,917
  Trophy Points: 280
  waulizen wale waliotekwa na kurudishwa majuzi maana ya piracy
   
 9. S

  SUTU BUTUGURI Member

  #9
  Mar 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2011
  Messages: 22
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Idara za usalama wa taifa wa nchi husika ndizo hushughulika na mambo hayo ya piracy & money laundering. Marekani ni CIA ilisaidiana na FBI, Uingereza ni MI5 ikisaidiwa na SFO nk. Tanzania puuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu. Usalama wa Taifa, TISS, ni usalama wa mafisadi wa CCM. Hawalindi nchi, Tanzania, wanalinda CCM MAFISADI. Angamiza nchi vyovyote utakavyo, ilimradi uko CCM kwa USALAMA WA TAIFA wa Tanzania hakuna tatizo lolote. TISS ivunjwe ili kunusuru nchi hii na mafisadi ...
   
 10. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #10
  Mar 18, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 0
  hivyo vitengo vipo mkuu....ila vipo chini ya idara/wizara husika.....kwa mfano money laundering ipo BOT


  ila kama unataka kujadili ufanisi wake, then hiyo ni topic nyingine.
   
 11. Halisi

  Halisi JF-Expert Member

  #11
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 16, 2007
  Messages: 2,810
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 145
  Hayo yote unayoyasema hata kungekuwa na vitengo maalumu vya aina gani bila ya kuwapo utashi wa kisiasa na kijamii, hakuna kitakachofanyika. Kwa sheria hizo hizo zilizopo ikiwamo ile ya Anti Money-laundering, PCCB Act, Sheria ya Uhujumu Uchumi, Anti terrorism act National Security Act na kadhalika na pia kuwapo kwa Task Force inayofanyia kazi makosa hayo yote.

  Mfano hao hebu angalia hii kesi ilivyoyeyuka kiana na ukiangalia humu kuna hadi Wasomali ambao bila shaka uchunguzi ukifanyika kwa kina utagundua Tanzania hatuwawezi hao maharamia ambao tayari wamewekeza Dar es Salaam na maeneo mengine ya nchi na nchi jirani.

  https://www.jamiiforums.com/jamii-intelligence/110957-lowassa-ni-msafi-lakini-kuna-kitu-hiki-5.html
   
 12. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #12
  Mar 18, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 147
  Trophy Points: 160
  Nimeipitia hiyo link hapo na kuzisoma docs! kwa style hii, kazi ya kufanyika ni kubwa sana!
   
 13. H

  Hute JF-Expert Member

  #13
  Mar 19, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,045
  Likes Received: 3,917
  Trophy Points: 280
  unasema kwamfano money laundering, hakuna asiyejua hilo, icho kitengo kilichopo BOT kimesaidia nini nchi yetu, hakina meno tatizo, na nisemacho ni kwamba kitengo kipya kitakachoundwa kujumuisha hayo yote kitakuwa na meno, kiwe independent kabisa....sasa hao wa bot wamefanya nini hadi tunasaidiwa na Waingereza kutrace pesa zetu zilizoibiwa na kina chenge.....umeridhika kwamba icho kitengo kipo chini ya BOT, nchi zingine zimeunganisha icho kitengo na BOT? fanya utafiti kama ukimuweka nyani na ngedera pamoja walinde shamba kama watasalitiana wakinyofoa mahindi yako...tutajifunza lini wenzetu wa magaribi na israel wanapotengeneza vitengo maalum kama vile vya Masaad, CIA na vingine vingi ili kufuatilia kwa ukaribu sana interest za nchi? au tunawaachia usalama wa taifa wafanye kila kitu (ambao ni usalama wa ccm),...au tunawaachia polisi wttu hawa ambao wengi wao wanaungana na majambazi kuwaibia wananchi? fikra chanya zitakuja lini kwa watz kama watu wanaridhika na kinachoendelea kama wewe uliyeandika hapa?
   
 14. Nzi

  Nzi JF-Expert Member

  #14
  Mar 19, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 12,857
  Likes Received: 4,531
  Trophy Points: 280
  well said mkuu. Kwakweli hapa Tanzania suala la money laundering ni ishu ambayo haitiliwi mkazo na serikali kama ilivyo kawaida ya serikali.
  TRA wanapaswa kuwa na kitengo cha kuchunguza money laundering..ebu cheki hii link chini uone jinsi IRS (TRA ya US) inavyolishughulikia ilo swala.

  Overview - Money Laundering
   
Loading...