Piracy: Mchango, athari, faida na hasara zake

pia kuna special software kwa ajili ya screenshots tu!
 
Kuna developer yeyote wa(Sofware/program) Tanzania au hata east africa kazi yake imeathirika na sababu kubwa ikawa ni piracy?

Muziki kweli wanaumia na sababu sababu muziki ni entertainment na soko la muziki linategema zaidi uaminifu wa mtu mmoja mmoja.

Kwenye software kama mtu anategeneza software analenga mtu mmja mmoja then huyo anakuwa anchimbia kaburi kwanza kwa washindani na pili kwa piracy.

@HT(Nimeona article yako moja juzi juzi ) na wazoefu wengine
Napenda kujua kama kuna sofware ya tanzania au ya mtanzania au ya kampuni ya kitanzania imeshindwa kufankiiwa na sababu kuwa ikawa ni PIracy?
 
mtazamaji,
nimewahi ongea na developers wachache na kufuatilia kampuni kadhaa za Tz zinazodili na software. Kwa nza hawako wengi na kampuni sio nyingi. Lakini pia wana hofu kuwa wakitengeneza software kwa ajili ya mTz mmoja mmoja wataibiwa kama ambavyo wanaona Nero, MS, au Adobe wanavyoibiwa. Wengi wamekimbilia kufanya dili za watu ktk kampuni na kupata kamisheni yao kama kukodiwa hivi, wengine wanatafuta ajira zingine basi tu ilimradi inakatisha tamaa.
Next year sijajua muda tutarelease product moja kama risk assesment na kuona itafanya vipi ktk soko. I hope mambo yatanona!
 
hivi kuna sheria yoyote zaidi ya ile general copyright inayoangalia haya mambo?
 
Back
Top Bottom