Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,086
- 34,883
Hivi mi hapa nashidwa kuelewa hawa vijana wadogo/wacheche hivi wanawezaje kuiteka meli nzima?!, wanatumia mbinu gani mana kweli ni mashujaa kwa kutumia viboti hivyo!!!
hivi mi hapa nashidwa kuelewa hawa vijana wadogo/wacheche hivi wanawezaje kuiteka meli nzima?!, wanatumia mbinu gani mana kweli ni mashujaa kwa kutumia viboti hivyo!!!
hii sawa
Wana JF,
Hivi kweli Dunia imeshindwa kabisa kuwa zingila hawa wasomali nje na ndani ya ardhi yao na kuwawekea utawala mpaka siku wastaarabike ili wajitawale wao wenyewe??
Maaana ukitizama nchi inakwenda mikaz azaidi ya 20 bila kuwa na serikali shupavu kila kukicha ni kpigana kusiko isha ni kuwa wame laaniwa hawa wasomali au ni nini inatubidi sasa dunia ifike mahali tuwawajibishe hawa wasomali kama wao wana ta nchi yao iwe hivyo kwanini sasa wanakimbilia nchi zingine si wabaki huko na kama hawataki nchi yao iwe ya kivita si waunganishe hizo koo zao ili kuwapinga wale ambao hawataki kutawaliwa