Leo nilichafukwa sana sana, timu yangu kama zezeta fulani daah nimeudhika, shukrani tumepata sare bila hivyo nilikuwa nalewa mpaka Asubuhi, at least ntaondoka saa7 ndio nalale na kamodo ka kinyamwezi
Timu hii ni ndogo ila kocha ni mkubwa nikimaanisha wachezaji ndiyo maana mpira unakuwa papatu papatu.
Ukubwa wa Simba uliobaki ni wa jina siyo timu nasisitiza kocha asibugudhiwe ni mkubwa kuliko timu yenyewe.