@pingili-nywee

Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
773
Likes
883
Points
180
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
773 883 180
Kuingia na kuchungulia ni kitu cha kawaida, kila alie na smartphone hua anashika hio tabia... Unaamka asubuhi dakika 30 za Kwanza unachungulia social media zote, trending news...etc....

Tofauti ya mtu productive mwenye kazi ya maana na alie si productive ni
kwamba jamaa ambaye Hana kazi ya maana ataanza Ku engage Kwa kila mjadala, na uki reply naye ana reply hata iwe ni saa ngapi.... Hauezi ukaniambia huyo ni mtu ana kazi na majukumu....
Naomba nipingane nawe kuhusu kazi ya maana kwa tafsiri yako. Daktari ana kazi ya maana, si ndio? Napokuwa shift au kwenye operations ndio anakuwa busy....akiwa home jioni au hayuko shift yuyko free sana tu...na anaweza kuwa humu kwa muda mrefu. Kazi ya maana haimaanishi hauna muda wa bure. Kuna watu wana kazi za kiboya tu ila kuna time wana project au reports preps unakuita wako busy sana.
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
1,911
Likes
2,037
Points
280
Age
31
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
1,911 2,037 280

Mkuu.. kazi zinatofautiana sana. Kuna mtu ameajiliwa kusimamia Duka au yeye anamiliki Duka na ameajili watu kwa hiyo anaeza akawa dukani kwake huku aki shinda ana peruzi mitandaoni na bado yupo productive. Kuna mwingine bank teller masaa yote ya kazi yuko bsy ana hesabu pesa huyu anaeza kosa muda. Sasa hapo una pimaje productiveness! binafsi namfahamu mtu ambae ni tajiri haswaa ila anashinda Jf kuliko mm ila anatengeneza pesa kuniliko. Mkuu usiwapimie watu kwakua una chat nao sana humu!
 
100 Likes

100 Likes

Senior Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
151
Likes
193
Points
60
100 Likes

100 Likes

Senior Member
Joined Nov 5, 2018
151 193 60

Kuna siku nilienda Hospital, nilikuwa nina tatizo la ngozi na sikio, nikawa namwelezea Dokta tatizo langu anaitika mmh, mimi najieleza tu, nikagundua kwamba hayuko ananisikiliza vizuri maana alikuwa anaangalia simu tu.

Nikaamua kukaa kimya, kuja kushtuka nikaona JF page wakati ana close page baada ya mimi kukaa kimya.
 
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
3,915
Likes
3,345
Points
280
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
3,915 3,345 280

Naelewa mnachosema ... Hayo
wa kumiiliki biashara ni Sawa, lakini wale nilikua nalenga ni wale watu wamesomea taaluma flani...
Hata kama mtu ana kazi safi kabisa... Jaribu siku moja ujipime unachukua mda gani mtandaoni uki WhatsApp,jadili Kwa forum..etc utashtuka ukigundua ni mda mrefu kuliko mda unao kuchukua kufanya mengine...

Lakini sikua nalenga kupimia watu hewa hapa jf, mi nilikua natoa theory niliokua nayo akilini...
 
Hihihihihi hapo umenimaliza.. . Je ungeona Username yake ugundue ni jamaa hua mnabishana huku jf...
 
100 Likes

100 Likes

Senior Member
Joined
Nov 5, 2018
Messages
151
Likes
193
Points
60
100 Likes

100 Likes

Senior Member
Joined Nov 5, 2018
151 193 60
Hihihihihi hapo umenimaliza.. . Je ungeona Username yake ugundue ni jamaa hua mnabishana huku jf...
Siyo rahisi kuona username, ila nilimind sana sana, yaani mimi naongea yuko mmh, mmh. Nikakausha akaendelea mpaka kuja kushtuka mimi niko kimya.
 
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined
Oct 28, 2016
Messages
1,911
Likes
2,037
Points
280
Age
31
thisdayes

thisdayes

JF-Expert Member
Joined Oct 28, 2016
1,911 2,037 280
Naelewa mnachosema ... Hayo
wa kumiiliki biashara ni Sawa, lakini wale nilikua nalenga ni wale watu wamesomea taaluma flani...
Hata kama mtu ana kazi safi kabisa... Jaribu siku moja ujipime unachukua mda gani mtandaoni uki WhatsApp,jadili Kwa forum..etc utashtuka ukigundua ni mda mrefu kuliko mda unao kuchukua kufanya mengine...

Lakini sikua nalenga kupimia watu hewa hapa jf, mi nilikua natoa theory niliokua nayo akilini...
Wewe ulisema productiveness.. sasa umebadili gear angani. Ila ata aliyefungua duka anaeza akawa na taaluma yake tena amekua productive ameitumia vizuri taaluma yake mpaka ku hire watu. Ngoja nikupe mfano unao taka ww, receptionist na taaluma yake yupo very free ku browse mitandaoni. Mimi binafsi kuna kipindi nilikua napiga kazi ya ku manage market nilikua nina muda mwingi sana wa kuwa mitandaoni kwa sababu kazi ilikua ni 80% field na naweza ipiga huku nikiwa tunabishana JF.
 
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
3,915
Likes
3,345
Points
280
Kafrican

Kafrican

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
3,915 3,345 280
Wewe ulisema productiveness.. sasa umebadili gear angani. Ila ata aliyefungua duka anaeza akawa na taaluma yake tena amekua productive ameitumia vizuri taaluma yake mpaka ku hire watu. Ngoja nikupe mfano unao taka ww, receptionist na taaluma yake yupo very free ku browse mitandaoni. Mimi binafsi kuna kipindi nilikua napiga kazi ya ku manage market nilikua nina muda mwingi sana wa kuwa mitandaoni kwa sababu kazi ilikua ni 80% field na naweza ipiga huku nikiwa tunabishana JF.
Hivi we unaweza kukaa wiki nzima au hata siku tatu ukiwa na simu yako ambayo iko na data na usiingie mtandao wowote Kwa hiari yako? Usichungulie hata news, WhatsApp ikiingia usiisome.. po Kama huwezi jua mitandao ina affect production yako hata kama hujagundua...
Nambuka kuna siku nikiwa likizoni transformer ililipuka na Kenya power walichukua karibia wiki mbili kuleta nyengine. Nilikua siwezi ingia mtandaoni, siwezi angalia movie, hata radio siwezi sikiza.... Nakwambia ilibidi nisome novel na kufanya kazi zangu Kwa vitabu kuanzia asubuhi Hadi jioni... Nikiwa sijiskii kufanya kazi zangu nafagia compound ,na fyeka naenda kuangusha maembe... Yani kazi ambazo zilikua zinafanywa na mfanyikazi....
Huezi jua, labda ungeweka simu kando ungepata mda wa Ku observe na kufikiria with maximum concentration ungevumbua mtindo mpya wa kuboresha taaluma yako...

Anyway, nadhani umepata point yangu kufikiria hapo let's say we agree to disagree..
 
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,084
Likes
5,279
Points
280
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,084 5,279 280
Hii hoja yako kwa upande wa Tz nakukatalia! Tena ni opposite wenye kazi za maana ndiyo wamejaa humu. Tena daily watu lazima wachungulie humu, Wewe umejifungia kwenye Kenyan section kuna mambo mengi ya maana yana endelea humu. Watu wana piga deal nakupeana mawazo, mwingine anaingia upande wa jokes au chit chat, au sports. Ila siyo kwa kua hana kazi ya maana. Mimi daily naingia kupata trending news kwenye section nazo zipenda, ila ninafanya kazi ya maana sana kuliko Mike Sonko . Ukipata kazi ikakufanya ukose muda wa ku tembelea social networks ata kwa dakika 10 kwa siku, jua hiyo siyo kazi ya maana.
Mkuu nimepende sana hapaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚"Ukipata kazi ikakufanya ukose muda wa ku tembelea social networks ata kwa dakika 10 kwa siku, jua hiyo siyo kazi ya maana."
 
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,084
Likes
5,279
Points
280
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,084 5,279 280
Umetumia mfano wa 'rafiki zako' walio na kazi za maana ... Alafu kunatofauti Kati ya talking about what has been posted na kushinda siku nzima ukijadiliana... Kama wewe Una spend zaidi ya 4hrs Kwa mtandao wowote Kwa siku jua hauna kazi ya maana. . Hata kama mshara unakutoshelza jua tu you are not productive person ..

Nionyeshe mtu mmoja au wawili wa serekali ambao wanashinda hapa jf siku nzima.... Sana Sana utakuta wana comment mara moja au mbili Kwa wiki, au wanapita kimya kimya...
Mimi niku kuonyesha kazi zangu utakimbia humu ndaniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚..Jua kazi tunazo fanya sisi ziko seasonal... Kwa sasa nipo Dar es salaam kesho kutwa naenda Congo..Mimi naweza kuamua kukaa humu hata mwezi mzima...Mwezi wa pili nitakuwa free.. nitashinda humu mchana kutwa...
 
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,084
Likes
5,279
Points
280
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,084 5,279 280
Umetumia mfano wa 'rafiki zako' walio na kazi za maana ... Alafu kunatofauti Kati ya talking about what has been posted na kushinda siku nzima ukijadiliana... Kama wewe Una spend zaidi ya 4hrs Kwa mtandao wowote Kwa siku jua hauna kazi ya maana. . Hata kama mshara unakutoshelza jua tu you are not productive person ..

Nionyeshe mtu mmoja au wawili wa serekali ambao wanashinda hapa jf siku nzima.... Sana Sana utakuta wana comment mara moja au mbili Kwa wiki, au wanapita kimya kimya...
Nikuonyeshe kwa kufichua ID zao...πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Wewe bwege kweli... πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2017
Messages
6,084
Likes
5,279
Points
280
M

mulisaaa

JF-Expert Member
Joined Jun 16, 2017
6,084 5,279 280
Naomba nipingane nawe kuhusu kazi ya maana kwa tafsiri yako. Daktari ana kazi ya maana, si ndio? Napokuwa shift au kwenye operations ndio anakuwa busy....akiwa home jioni au hayuko shift yuyko free sana tu...na anaweza kuwa humu kwa muda mrefu. Kazi ya maana haimaanishi hauna muda wa bure. Kuna watu wana kazi za kiboya tu ila kuna time wana project au reports preps unakuita wako busy sana.
Unaongea na jamaa ambae yuko jobless...Hajui maana ya kazi.... Ngoja nimpe somo kidogo ajue nikazi gani afanye apate pesa nyingi nakushinda humu JF....
The difference between the rich and the poor when it comes to work its not about money...! The difference is that Poor people work for money and Rich people money work for them. Rich people never spend there time on tough and hard work but they always hire people like you Kafrica to work for them... They stay more on social media than you through receiving emails, news, tenders and many others. They do that to get to know more...Every rich person has a place in social media were he spends his time...They always know more than you....Hivi kwa mfano sisi wafanyabiashara wa madini you think muda wote huwa ni season ya madini....?? Wamiliki wa Contracting companies you think wao ushinda kwenye hizo barabara...?? Mimi i have a friend ambae kila baada ya mwezi anaweza fanya kazi ya 1million dollar moja na miezi miwili asitake tena kazi..!! Huyo mtu utasema jobless?? So it depends utanataka pesa ikufanyie kazi au wewe ufanyie kazi pesa..🀣🀣🀣🀣
 
Mfano mzuri sana, Kafrican.. badili msimamo wako. Siyo watu wote wanaoshinda humu hawana kazi za maana au hawako productive. Mifano ni mingi sana, usitake watu tufunguke zaidi. Kuna wengine kuingia JF ni moja ya sehemu ya kazi yake.
 
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2018
Messages
773
Likes
883
Points
180
Meraki

Meraki

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2018
773 883 180
Mfano mzuri sana, Kafrican.. badili msimamo wako. Siyo watu wote wanaoshinda humu hawana kazi za maana au hawako productive. Mifano ni mingi sana, usitake watu tufunguke zaidi. Kuna wengine kuingia JF ni moja ya sehemu ya kazi yake.
Kazi yangu nashinda na laptop almost 15 hours a day, hakuna anayenikagua wala sina boss. I have an office not a job. Nafungua window ya mails, jf, facebook, site ya kazi, auxiliary site za kazi......naweza kuchat na simu na kupokea simu zangu na kuingia jf muda ninaotaka. Pesa ninayopiga hata Specialty Doctor wa Muhimbili haoni ndani. Waache waendee kukariri ujinga kuwa kazi ya maana ni kuhangaika na mareport na masurvey field vijijini huko in order to make a living.
 
Forum statistics

Threads 1,235,315
Members 474,525
Posts 29,218,130