...and you think you are serious?...Hujitaki nini njomba?...wewe unapiga kazi huko halafu unapinga tena kichinichini...?..Mwajiri akikutimua usije JEIEFU kutuomba msaada!(light touch!)
Coming to ze point, hakika kabisa no one knows not the effects of this deadly smoke!..Tunauana hivihivi jamani!
Pesa bana ina vituko..matangazo ya sigara yanaonyesha watu wazuuuuri ajabu wakivuta sigara, huku wamepaki magari ya pesa mingi pembeni!
Kama kampeni hii itafanikiwa itasaidia sana kupunguza shida hii..Lets join hands!