Pinga pinga na timu yao iliyoshindwa mitandaoni

Wewe ndio uliwakatia card ukajuwa ni wanachama cha CCM?
 
Nimependa hiyo terminology ya Ugaidi kwa kutumia habari.

Yaani bavicha imetengeneza kitengo cha upotoshaji.

Naona ukikaa bila kuitaja BAVICHA unaugua kabisa kabisa.Pole sana.Miaka 5 ya Awamu ya Tano TAIFA limerudi nyuma miaka 50
 
Uandishi wa kijinga kabisa.

Mmewaandaaje ndugu zenu na ugunduzi wa mafuta hapo Lake Eyasi pamoja na mradi wa Bomba la mafuta toka Hoima? Au mnapiga domo tu halafu baadaye mje kutoa mapovu?
 
huo ujumbe ni murua sana kwa hawa wazee wapiga kura mnawapa tshirt,kanga,kofia,mashati kuwarubuni
 
huo ujumbe ni murua sana kwa hawa wazee wapiga kura mnawapa tshirt,kanga,kofia,mashati kuwarubuni

Sio wale vijana mliokuwa mnawaharibu kwa Bangi,Viroba na yale majani ya mbuzi halafu mnawaachia tabu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…