Pinga pinga na timu yao iliyoshindwa mitandaoni

Tumezizoea hotuba bila vitendo. Kwani mmeanza leo kutoa hjzo hotuba hewa!
 
Cc polepole
 
Haya yslisemwa toka 2005 lakini CCM imeendelea kupeta
 
"enlightenmentmovement." How does it suppose to mean while you being used by those thief's from abroad?
 
Wallah hii nchi imejaa masakala, mkishashiba tambi walikoolewa dada zenu hamjui kuna asilimia 43 ya Watanzania kwa mwaka mzima hawaishiki 300,000 wao hula mahindi wanayolima.

Hii nchi haiishii Buguruni dogo
Nimeshakuambia kama wewe huna kilema chochote basi ni Mzazi mvivu usiyejali familia yako.
Lkn km una ulemavu wowote au ni mzee umeachiwa wajukuu nenda hapo Temeke na barua ya Mtendaji wako kuna kitengo cha Bw. Huruma utasaidiwa wewe na wajukuu zako. Serikali haijakataa kutibu watu mradi uwe kweli una tatizo na ufate taratibu
 
Kama kweli watu wameamua kumuenzi Mwalimu Nyerere warudishe Azimio la Arusha.
Yote mabaya na mazuri yaliyotokea chama tawala ni kile kile hatujawahi kubadili na inakuwa ajabu kushambulia watu ambao ndio whistle blower kwa watawala makini.
Nadiriki kusema jitihada zote za sasa ni hofu ya kuondoka madarakani na ndio maana nguvu kubwa inatumika kudhoofisha upinzani.
Mikataba yote ya unyonyaji tumeingia wenyewe kwa hiari yetu huku tukishangilia.
Upinzani usiingie Ikulu lakini ukifanye Chama tawala kitembelee vidole ili wananchi tupate maendeleo,inatosha!!
 
Ndugu twambie umetoka kitengo gani pale Lumumba. Hatari sana, kweli Nyerere alisomesha watu.
 
Kaya yetu haijawahi kuongozwa na mkuu mpuuzi, mzandiki, mnafiki, mwenye kijicho, mshamba, limbukeni, mchawi, mropokaji, vuvuzela, mjivuni kama huyu wa sasa. Ni zero kabisa. Amejenga matabaka baina ya wanafamilia hata hawaelewani.
 
Hujitambui hata kidogo tena ni aibu kubwa kwa familia yako kukusomesha maana hukuelimika!! Majizi yote,mahujumu uchumi ,matakatishaji ya fedha,waliogawana pesa kwenye viroba wote wapo fisiem,huwajui au unazugaaa??? Hotuba ile iliwalenga wao na sio kina wapinzani,acha kujidai hujuiiii,,nimekupa tu taarifaa mkuu
 
Kwenye hiyo timu lumumba FC inayoshiriki ligi daraja la nne wewe unacheza namba ngapi?
 
Hizo maliasili mnazolinda mbona hatuoni mafanikio yake.? Mnakamata pembe za ndovu. Mnaziweka kwenye stoo. Kwanini msiwauzie wanaozitumia mkapata hela?
 
Kaya yetu haijawahi kuongozwa na mkuu mpuuzi, mzandiki, mnafiki, mwenye kijicho, mshamba, limbukeni, mchawi, mropokaji, vuvuzela, mjivuni kama huyu wa sasa. Ni zero kabisa. Amejenga matabaka baina ya wanafamilia hata hawaelewani.
Kwenye Red!
Pole sana km kaya yenu hapo ufipa iko hivyo. Jitafakari
 
Hizo maliasili mnazolinda mbona hatuoni mafanikio yake.? Mnakamata pembe za ndovu. Mnaziweka kwenye stoo. Kwanini msiwauzie wanaozitumia mkapata hela?
Mawazo ya poacher's.
 
CCM haina wezi wa magari
 
Kwani tangu Uhuru si ninyi mafisiem ndo mnaongoza...

Au mnaona makengeza...!????
 
MATAIFA YALIYOENDELEA NA YENYE NDOTO ZA KUENDELEA MKUU WA NCHI HUJIONA AMECHAGULI NA WANANCHI WOTE.PIA HUWA NA HOFU YA KUITENDEA HAKI KATIBA.
MLETA MADA ACHA KUJIONDOA UFAHAMU ETI PINGA PINGA WATOTO WETU WAITWE VILAZA TUKAE KIMYA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…