Quinine Mwitu
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 5,530
- 6,121
Alafu alivyo na IQ ndogo anatuaminisha kuwa haoni haja ya katiba mpya kwa kuwa yaliyotakiwa kuwa kwenye katiba JPM anayatekeleza kwa vitendopolepole ni malaya wa itikadi.....saaizi hana habari km alitetea katiba halisi ya watz rasimu ya WARIOBA
Darasani nimemaliza muda sana, usipige mno ramli.Ukiwa unaendelea kusoma hapo Darasani na kufanya Speculation
Jiulize kwa nini Dangote na kuwa ni bilionea namba moja Afrika lkn kwao kuna majority wenye hali duni kuliko Tz.
Usichanganye posho na mishahara.[emoji15] [emoji15] sasa mkuu unatuambiaje ili tuweze kuwaamini japo kwa nguvu HV serikali yenu haina connection baina ya taasisi na taasisi maana msemaji mkuu wa serkali amekuwa mpinzani mkuu wa mheshimiwa rais..
Mh rais amesema haongezi na hatoongeza mishahara kwa watumishi wa umma maana ana kazi nzito yakuijenga nchi Dr Abbasi kaja kumpinga rais sasa mzee huko juu inakuaje...maana kwa uandishi huu inaonekana nawe unakula keki ya taifa hivyo inawezekana utakuwa na majibu kidogo....hayo ya pumpets nakuachia mwenyewe maana nikikwambia unidhibitishie utakimbia....ni propaganda tu za kisiasa....nipe jibu mkuu..[emoji4]
Wanaugonjwa uliosabishwa na ukosefu wa logic.[emoji15] [emoji15] sasa mkuu unatuambiaje ili tuweze kuwaamini japo kwa nguvu HV serikali yenu haina connection baina ya taasisi na taasisi maana msemaji mkuu wa serkali amekuwa mpinzani mkuu wa mheshimiwa rais..
Mh rais amesema haongezi na hatoongeza mishahara kwa watumishi wa umma maana ana kazi nzito yakuijenga nchi Dr Abbasi kaja kumpinga rais sasa mzee huko juu inakuaje...maana kwa uandishi huu inaonekana nawe unakula keki ya taifa hivyo inawezekana utakuwa na majibu kidogo....hayo ya pumpets nakuachia mwenyewe maana nikikwambia unidhibitishie utakimbia....ni propaganda tu za kisiasa....nipe jibu mkuu..[emoji4]
We mpumbavu sana,sasa kazi ya serikali ni kukusanya fedha au kutoa huduma? Kama ni kutoa huduma jua kuna watu wana stahili kupewa hizo Bima za Afya bure kabisaa na sio kulipia, awamu iliyopita iliwezaje kutoa huduma ya Sickle cell bure kwa wote na ya sasa iwe inataka ela? Yaani kuna mitanzania aina yenu ni mipumbavu sanaHaya nayo ya kuilaumu Serikali?
Km wewe ni Mzazi basi ni mzembe na huijali familia yako.
Umeshajua Mwanao ni above 5 sasa hata kumkatia bima ya afya unashindwa? Kweli acha upigwe hiyo 10,000/= kila uingiapo naye kwenye lile geti.
Na humu jf ni Darasa kubwa sanaDarasani nimemaliza muda sana, usipige mno ramli.
Tukirudi kwenye utajiri wa Dangote na umaskini wa Nigeria.
Swali lako ni kama vile unamaanisha "Kwakua Dangote ni tajiri basi na Nigeria iwe tajiri"
Kuna utajiri wa mtu mmoja mmoja halafu kuna utajiri wa jamii kwa ujumla, ulichokosea ni umechanganya hivyo vitu viwili
Mmoja wao huyu hapa[emoji15] [emoji15] sasa mkuu unatuambiaje ili tuweze kuwaamini japo kwa nguvu HV serikali yenu haina connection baina ya taasisi na taasisi maana msemaji mkuu wa serkali amekuwa mpinzani mkuu wa mheshimiwa rais..
Mh rais amesema haongezi na hatoongeza mishahara kwa watumishi wa umma maana ana kazi nzito yakuijenga nchi Dr Abbasi kaja kumpinga rais sasa mzee huko juu inakuaje...maana kwa uandishi huu inaonekana nawe unakula keki ya taifa hivyo inawezekana utakuwa na majibu kidogo....hayo ya pumpets nakuachia mwenyewe maana nikikwambia unidhibitishie utakimbia....ni propaganda tu za kisiasa....nipe jibu mkuu..[emoji4]
Kwani yeye ndio baraza la uongozi wa nchi? Au hujui kuwa maamuzi yaliyoamuliwa ndani ya kikao cha baraza la mawaziri, rais anaweza kutenda kinyume chake kulingana na perception na mood yake juu ya jambo hilo?Majibu ya hayo maswali mbona Mtendaji mkuu wa Serikali awamu hiyo mnaye huko?
Au akihama chama ndio basi na maamuzi aliyoshauri na kusimamia yanakuwa siyo yake?
Kweli kabisa kama kauli hii;Sitaongeza hadi uchumi utakapokuwa.Nyigine inasema tumepitia kila kitu,ila tunahakiki bamia 40000 zilizo nyauka,halafu tutaongeza mchicha. Aaaa oh.Nimependa hiyo terminology ya Ugaidi kwa kutumia habari.
Yaani bavicha imetengeneza kitengo cha upotoshaji.
Kiukweli ushanikera, hapa tunawekana sawa unaanza kuniambia "Siasa zenu" we jamaa vipi?Na humu jf ni Darasa kubwa sana
Hayo uliyoandika ndiyo mnayopinga hapa nyumbani lakini kwa mataifa ya nje mnayaona ni uhalisia. Kubali tu Siasa zenu zimeathiriwa na kukosa agenda kuu safari hii baada ya Magufuli kuyafanyia kweli mengi mliyokuwa mnayatuhunu kwa Serikali
Mnalokosa kujua ni kuwa utendaji mbaya wa watendaji na mafisadi si tu uliumiza watu fulani bali ni umma mkubwa wa Watanzania bila kujali itikadi zao,na hivyo CCM pia ina haki kusimamia kwa uthabiti kuvunja mabovu yale. Na ndio maana mafisadi walikimbia
Huo ndio ukweli. Na kuna wengine bado wako Nchi jirani wanafundishwa project km hiyo inaitwa Cambridge Analytica wakifundishwa Weaponization of information.Nimependa hiyo terminology ya Ugaidi kwa kutumia habari.
Yaani bavicha imetengeneza kitengo cha upotoshaji.
Hapo ndipo mnapokosea nyie mnaojifunza siasa kwenye matawi ya chama.Elimu ya siasa uwe mvumilivu hutakiwi kulazimisha views zako bali jenga hoja ushawishi
Umeandika pumba tupu,tunajua buku saba inakuhusuHaya nayo ya kuilaumu Serikali?
Km wewe ni Mzazi basi ni mzembe na huijali familia yako.
Umeshajua Mwanao ni above 5 sasa hata kumkatia bima ya afya unashindwa? Kweli acha upigwe hiyo 10,000/= kila uingiapo naye kwenye lile geti.
Wallah hii nchi imejaa masakala, mkishashiba tambi walikoolewa dada zenu hamjui kuna asilimia 43 ya Watanzania kwa mwaka mzima hawaishiki 300,000 wao hula mahindi wanayolima.Haya nayo ya kuilaumu Serikali?
Km wewe ni Mzazi basi ni mzembe na huijali familia yako.
Umeshajua Mwanao ni above 5 sasa hata kumkatia bima ya afya unashindwa? Kweli acha upigwe hiyo 10,000/= kila uingiapo naye kwenye lile geti.